MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,982
- Thread starter
- #21
Ninakubaliana na wewe.Hususani kizazi kipya cha siasa, kizazi cha mihemko

Yanayompata Edward Lowassa liwe ni funzo zuri kwa wale wanadhani wanaweza kupongeza juhudi za serikali au Rais Magufuli na kubaki salama ndani ya CHADEMA/upinzani.
Wanaomshambulia Lowassa ndio hawa hawa kila siku wanatuamisha kuwa wanapigania uhuru wa kutoa mawazo (Freedom of speech) hata kama hukubaliani nayo. Hawa ni kama simba ndani ya ngozi ya kondoo!
Kama hii ni hoja yako, kwa hiyo kwa macho ya baadhi ya viongozi wa juu CHADEMA ni kosa kutoa pongezi kwa serikali?Ni nani alikuambia ni lazima rais apongezwe?
Rais anatekeleza wajibu wake kikatiba suala la kumpongeza ni jambo la hisani,inafahamika wazi kiu ya CCM kutaka pongezi nyuma ya pazia kuna janga dhidi ya wapinzani.
Aisee! Nadhani unaongea mada tofauti na iliyowekwa mezani...mbona CCM wanamsaka diwani wao aliyempigia kura Ukawa ktk uchaguzi wa Naibu Meya wa Dsm?
Aisee! Nadhani unaongea mada tofauti na iliyowekwa mezani.
Ndio mwisho wa akili yako ...haya subiri uteuziBaadhi ya wananchi wamekuwa wakijiuliza bila kupata majibu sahihi kuhusu dhana ya baadhi ya madiwani na wabunge kuhama CHADEMA/upinzani na kujiunga CCM ili kuunga mkono juhudi za serikali ya Rais Magufuli au kumpongeza kwa juhudi zake.
Kinachompata Edward Lowassa kutoka kwa baadhi ya viongozi wa juu wa CHADEMA wakisaidiwa na manazi wake baada ya kupongeza juhudi za Rais Magufuli ni jibu linalojitoshereza kuhusu sababu za madiwani na wabunge kuhama kutoka CHADEMA/upinzani kabla ya kuunga juhudi za serikali ya Rais Magufuli.
Edward Lowassa ambaye baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA/upinzani walikuwa wanatuambia amewasaidia kuwapatia wabunge zaidi ya 110 na maelfu ya madiwani ameshambuliwa kwa maneno ya kejeli na dharau huku wengine wakienda mbali zaidi na kudai aitwe kwenye Kikao cha juu cha CHADEMA ili ahojiwe. Kosa lake ni kuainisha mafanikio ya serikali ya awamu ya tano!
Jaribu kufikiria kama diwani au mbunge wa kawaida angefanya aliyoyafanya Edward Lowassa ya kukutana na Rais Magufuli na kupongeza kazi zake. Nina uhakika angefukuzwa uanachama mara moja na kupoteza udiwani au ubunge au angetengwa na kuitwa msaliti.
Kwa Lowassa hawataweza kutoa onyo au kumfukuza Lowassa mara moja kwa sababu ya pesa aliyowekeza kwa wenye CHADEMA na badala yake wanabaki kulalamika kwenye vyombo vya habari na mitandao kwa kutumia mawakala wao.
Wanachama wanaoifahamu vizuri CHADEMA wanajua kuwa ndani ya CHADEMA kuna wenye CHADEMA na watumishi wa CHADEMA wasio na mkataba.
Yaliyomtokea Diwani wa viti maalum CHADEMA jimbo la Tarime vijijini, Mh Philomena Tontora baada ya kuhudhuria maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli ilikuwa ni ishara tosherezi kuwa kama unataka kufukuzwa uanachama wa CHADEMA toa pongezi kwa Rais Magufuli na serikali yake.
Kwa wale wasiofahamu yaliyompata Diwani wa Viti Maalum wa CHADEMA wanaweza kusoma hii thread;
LINK>>Kufilisika kisiasa kwa CHADEMA: Wanataka kumfukuza diwani aliyehudhuria maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli
Yanayompata Edward Lowassa liwe ni funzo zuri kwa wale wanadhani wanaweza kupongeza juhudi za serikali au Rais Magufuli na kubaki salama ndani ya CHADEMA/upinzani.
Wanaomshambulia Lowassa ndio hawa hawa kila siku wanatuamisha kuwa wanapigania uhuru wa kutoa mawazo (Freedom of speech) hata kama hukubaliani nayo. Hawa ni kama simba ndani ya ngozi ya kondoo!
Oh! Kumbe basi naomba tuende ndani zaidi kwenye huo wigo. Kuhusu kura za meya msaidizi wa Dar sikusikia tamko kutoka kwa mwenyekiti wa CCM. Lakini hili la Lowassa tumeona ubinywaji wa uhuru ndani ya CDM yaani mwenyekiti anatoa tamko na kunyima uhuru wa viongozi ndani ya chama. Ndani ya CCM tunaona uhuru mkubwa. Mf makamu wa rais kumsalimia TL. Na mengine mengi tu. Je wewe unajambo lenye mashiko kabisa kutoka chadema?..nimeongeza wigo wa mjadala.
Hueleweki.Baadhi ya wananchi wamekuwa wakijiuliza bila kupata majibu sahihi kuhusu dhana ya baadhi ya madiwani na wabunge kuhama CHADEMA/upinzani na kujiunga CCM ili kuunga mkono juhudi za serikali ya Rais Magufuli au kumpongeza kwa juhudi zake.
Kinachompata Edward Lowassa kutoka kwa baadhi ya viongozi wa juu wa CHADEMA wakisaidiwa na manazi wake baada ya kupongeza juhudi za Rais Magufuli ni jibu linalojitoshereza kuhusu sababu za madiwani na wabunge kuhama kutoka CHADEMA/upinzani kabla ya kuunga juhudi za serikali ya Rais Magufuli.
Edward Lowassa ambaye baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA/upinzani walikuwa wanatuambia amewasaidia kuwapatia wabunge zaidi ya 110 na maelfu ya madiwani ameshambuliwa kwa maneno ya kejeli na dharau huku wengine wakienda mbali zaidi na kudai aitwe kwenye Kikao cha juu cha CHADEMA ili ahojiwe. Kosa lake ni kuainisha mafanikio ya serikali ya awamu ya tano!
Jaribu kufikiria kama diwani au mbunge wa kawaida angefanya aliyoyafanya Edward Lowassa ya kukutana na Rais Magufuli na kupongeza kazi zake. Nina uhakika angefukuzwa uanachama mara moja na kupoteza udiwani au ubunge au angetengwa na kuitwa msaliti.
Kwa Lowassa hawataweza kutoa onyo au kumfukuza Lowassa mara moja kwa sababu ya pesa aliyowekeza kwa wenye CHADEMA na badala yake wanabaki kulalamika kwenye vyombo vya habari na mitandao kwa kutumia mawakala wao.
Wanachama wanaoifahamu vizuri CHADEMA wanajua kuwa ndani ya CHADEMA kuna wenye CHADEMA na watumishi wa CHADEMA wasio na mkataba.
Yaliyomtokea Diwani wa viti maalum CHADEMA jimbo la Tarime vijijini, Mh Philomena Tontora baada ya kuhudhuria maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli ilikuwa ni ishara tosherezi kuwa kama unataka kufukuzwa uanachama wa CHADEMA toa pongezi kwa Rais Magufuli na serikali yake.
Kwa wale wasiofahamu yaliyompata Diwani wa Viti Maalum wa CHADEMA wanaweza kusoma hii thread;
LINK>>Kufilisika kisiasa kwa CHADEMA: Wanataka kumfukuza diwani aliyehudhuria maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli
Yanayompata Edward Lowassa liwe ni funzo zuri kwa wale wanadhani wanaweza kupongeza juhudi za serikali au Rais Magufuli na kubaki salama ndani ya CHADEMA/upinzani.
Wanaomshambulia Lowassa ndio hawa hawa kila siku wanatuamisha kuwa wanapigania uhuru wa kutoa mawazo (Freedom of speech) hata kama hukubaliani nayo. Hawa ni kama simba ndani ya ngozi ya kondoo!
Kwani mjadala uliopo umeumudu vema kiasi kutaka kuongeza wigo?au in kuongeza wigo ili mjadala uendane na akili yako?..nimeongeza wigo wa mjadala.
aya sasa na wale waliosema chama kitawafukuza wabunge wake watakao kwenda kumwona mbunge wa Arusha mjini alipokuwa mahabusu.Baadhi ya wananchi wamekuwa wakijiuliza bila kupata majibu sahihi kuhusu dhana ya baadhi ya madiwani na wabunge kuhama CHADEMA/upinzani na kujiunga CCM ili kuunga mkono juhudi za serikali ya Rais Magufuli au kumpongeza kwa juhudi zake.
Kinachompata Edward Lowassa kutoka kwa baadhi ya viongozi wa juu wa CHADEMA wakisaidiwa na manazi wake baada ya kupongeza juhudi za Rais Magufuli ni jibu linalojitoshereza kuhusu sababu za madiwani na wabunge kuhama kutoka CHADEMA/upinzani kabla ya kuunga juhudi za serikali ya Rais Magufuli.
Edward Lowassa ambaye baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA/upinzani walikuwa wanatuambia amewasaidia kuwapatia wabunge zaidi ya 110 na maelfu ya madiwani ameshambuliwa kwa maneno ya kejeli na dharau huku wengine wakienda mbali zaidi na kudai aitwe kwenye Kikao cha juu cha CHADEMA ili ahojiwe. Kosa lake ni kuainisha mafanikio ya serikali ya awamu ya tano!
Jaribu kufikiria kama diwani au mbunge wa kawaida angefanya aliyoyafanya Edward Lowassa ya kukutana na Rais Magufuli na kupongeza kazi zake. Nina uhakika angefukuzwa uanachama mara moja na kupoteza udiwani au ubunge au angetengwa na kuitwa msaliti.
Kwa Lowassa hawataweza kutoa onyo au kumfukuza Lowassa mara moja kwa sababu ya pesa aliyowekeza kwa wenye CHADEMA na badala yake wanabaki kulalamika kwenye vyombo vya habari na mitandao kwa kutumia mawakala wao.
Wanachama wanaoifahamu vizuri CHADEMA wanajua kuwa ndani ya CHADEMA kuna wenye CHADEMA na watumishi wa CHADEMA wasio na mkataba.
Yaliyomtokea Diwani wa viti maalum CHADEMA jimbo la Tarime vijijini, Mh Philomena Tontora baada ya kuhudhuria maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli ilikuwa ni ishara tosherezi kuwa kama unataka kufukuzwa uanachama wa CHADEMA toa pongezi kwa Rais Magufuli na serikali yake.
Kwa wale wasiofahamu yaliyompata Diwani wa Viti Maalum wa CHADEMA wanaweza kusoma hii thread;
LINK>>Kufilisika kisiasa kwa CHADEMA: Wanataka kumfukuza diwani aliyehudhuria maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli
Yanayompata Edward Lowassa liwe ni funzo zuri kwa wale wanadhani wanaweza kupongeza juhudi za serikali au Rais Magufuli na kubaki salama ndani ya CHADEMA/upinzani.
Wanaomshambulia Lowassa ndio hawa hawa kila siku wanatuamisha kuwa wanapigania uhuru wa kutoa mawazo (Freedom of speech) hata kama hukubaliani nayo. Hawa ni kama simba ndani ya ngozi ya kondoo!
Inabidi kabla ya kupongeza wawe wanatoka kwanza, nilikuwa sijawaelewa hao madiwani na wabunge waliojitoa kumbe wanawajua wakuu wao.
Vipi Mkuu?Kazi kweli!
Huu unafiki ndiyo unaoliangamiza Taifa la Tanzania.Baadhi ya wananchi wamekuwa wakijiuliza bila kupata majibu sahihi kuhusu dhana ya baadhi ya madiwani na wabunge kuhama CHADEMA/upinzani na kujiunga CCM ili kuunga mkono juhudi za serikali ya Rais Magufuli au kumpongeza kwa juhudi zake.
Kinachompata Edward Lowassa kutoka kwa baadhi ya viongozi wa juu wa CHADEMA wakisaidiwa na manazi wake baada ya kupongeza juhudi za Rais Magufuli ni jibu linalojitoshereza kuhusu sababu za madiwani na wabunge kuhama kutoka CHADEMA/upinzani kabla ya kuunga juhudi za serikali ya Rais Magufuli.
Edward Lowassa ambaye baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA/upinzani walikuwa wanatuambia amewasaidia kuwapatia wabunge zaidi ya 110 na maelfu ya madiwani ameshambuliwa kwa maneno ya kejeli na dharau huku wengine wakienda mbali zaidi na kudai aitwe kwenye Kikao cha juu cha CHADEMA ili ahojiwe. Kosa lake ni kuainisha mafanikio ya serikali ya awamu ya tano!
Jaribu kufikiria kama diwani au mbunge wa kawaida angefanya aliyoyafanya Edward Lowassa ya kukutana na Rais Magufuli na kupongeza kazi zake. Nina uhakika angefukuzwa uanachama mara moja na kupoteza udiwani au ubunge au angetengwa na kuitwa msaliti.
Kwa Lowassa hawataweza kutoa onyo au kumfukuza Lowassa mara moja kwa sababu ya pesa aliyowekeza kwa wenye CHADEMA na badala yake wanabaki kulalamika kwenye vyombo vya habari na mitandao kwa kutumia mawakala wao.
Wanachama wanaoifahamu vizuri CHADEMA wanajua kuwa ndani ya CHADEMA kuna wenye CHADEMA na watumishi wa CHADEMA wasio na mkataba.
Yaliyomtokea Diwani wa viti maalum CHADEMA jimbo la Tarime vijijini, Mh Philomena Tontora baada ya kuhudhuria maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli ilikuwa ni ishara tosherezi kuwa kama unataka kufukuzwa uanachama wa CHADEMA toa pongezi kwa Rais Magufuli na serikali yake.
Kwa wale wasiofahamu yaliyompata Diwani wa Viti Maalum wa CHADEMA wanaweza kusoma hii thread;
LINK>>Kufilisika kisiasa kwa CHADEMA: Wanataka kumfukuza diwani aliyehudhuria maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli
Yanayompata Edward Lowassa liwe ni funzo zuri kwa wale wanadhani wanaweza kupongeza juhudi za serikali au Rais Magufuli na kubaki salama ndani ya CHADEMA/upinzani.
Wanaomshambulia Lowassa ndio hawa hawa kila siku wanatuamisha kuwa wanapigania uhuru wa kutoa mawazo (Freedom of speech) hata kama hukubaliani nayo. Kwa haya wanayomfanyia Lowassa siwezi kuwatofautisha na simba ndani ya ngozi ya kondoo kwenye kelele zao za kutaka uhuru wa kutoa mawazo!
Oh! Kumbe basi naomba tuende ndani zaidi kwenye huo wigo. Kuhusu kura za meya msaidizi wa Dar sikusikia tamko kutoka kwa mwenyekiti wa CCM. Lakini hili la Lowassa tumeona ubinywaji wa uhuru ndani ya CDM yaani mwenyekiti anatoa tamko na kunyima uhuru wa viongozi ndani ya chama. Ndani ya CCM tunaona uhuru mkubwa. Mf makamu wa rais kumsalimia TL. Na mengine mengi tu. Je wewe unajambo lenye mashiko kabisa kutoka chadema?
Mkuu;..mbona CCM wanamsaka diwani wao aliyempigia kura Ukawa ktk uchaguzi wa Naibu Meya wa Dsm?