M/kiti ya UVCCM adai wasimpochagua Mtulia wasahau kuletewa maendeleo na serikali maana hawatahudumia upinzani

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Rais wa nchi hii ni wa CCM, Baraza la mawaziri ni la CCM, halmashauri ya Kinondoni iko chini ya CCM, hakuna haja ya kuchagua mbunge ama diwani wa CHADEMA ama CUF kwa sababu hakuna uwezekano wowote wa serikali ya CCM kutoa ushirikiano kwa watu ambao hawatokani na chama cha CCM, hapa Tandale diwani wenu ni wa Upinzani muulizeni alichowafanyia cha maana ni kipi: Kheri James@Tandale#Kampeni za ubunge Kinondoni
[HASHTAG]#DARMPYABLOGUPDATES[/HASHTAG]

Hivi ina maana nchi hii wanaolipa kodi ni CCM tu?
 
Rais wa nchi hii ni wa ccm,Baraza la mawaziri ni la ccm,halmashauri ya Kinondoni iko chini ya ccm,hakuna haja ya kuchagua mbunge ama diwani wa Chadema ama Cuf kwa sababu hakuna uwezekano wowote wa serikali ya ccm kutoa ushirikiano kwa watu ambao hawatokani na chama cha ccm,hapa Tandale diwani wenu ni wa Upinzani muulizeni alichowafanyia cha maana ni kipi:Kheri James@Tandale#Kampeni za ubunge Kinondoni
[HASHTAG]#DARMPYABLOGUPDATES[/HASHTAG]

Ivi inamaana nchi hii wanaolipa kadi ni ccm tu?
Hii ni hoja ya msingi sana kushinda kesi ya uchaguzu kama wataiba matokeo! CDM chukua na tunza clip hiyo!
 
Rais wa nchi hii ni wa CCM, Baraza la mawaziri ni la CCM, halmashauri ya Kinondoni iko chini ya CCM, hakuna haja ya kuchagua mbunge ama diwani wa CHADEMA ama CUF kwa sababu hakuna uwezekano wowote wa serikali ya CCM kutoa ushirikiano kwa watu ambao hawatokani na chama cha CCM, hapa Tandale diwani wenu ni wa Upinzani muulizeni alichowafanyia cha maana ni kipi: Kheri James@Tandale#Kampeni za ubunge Kinondoni
[HASHTAG]#DARMPYABLOGUPDATES[/HASHTAG]

Hivi ina maana nchi hii wanaolipa kodi ni CCM tu?
uvccm ilikua na vijana walio na hrkima.hawa wa sasa wameanza kulewa hawajitambui
 
Rais wa nchi hii ni wa CCM, Baraza la mawaziri ni la CCM, halmashauri ya Kinondoni iko chini ya CCM, hakuna haja ya kuchagua mbunge ama diwani wa CHADEMA ama CUF kwa sababu hakuna uwezekano wowote wa serikali ya CCM kutoa ushirikiano kwa watu ambao hawatokani na chama cha CCM, hapa Tandale diwani wenu ni wa Upinzani muulizeni alichowafanyia cha maana ni kipi: Kheri James@Tandale#Kampeni za ubunge Kinondoni
[HASHTAG]#DARMPYABLOGUPDATES[/HASHTAG]

Hivi ina maana nchi hii wanaolipa kodi ni CCM tu?
weww heri unajua kama kodi wanalipa watanzania wote?sasa pesa unachukua maendeleo usipeleke huo si ulevi?
 
Nomejifunza siasa za zanu pf baada ya comrade kupinduliwa baraza la vijana nalo likamkana. Vijana hawa wa ccm naona wanafanana na hawa wa zanu pf
 
Makonda nae alisema hivyo hivyo, je hii inakubalika,???? Yuko mbali SANA aisee, hii ni zaidi ya vitishooooo.
 
Rais wa nchi hii ni wa CCM, Baraza la mawaziri ni la CCM, halmashauri ya Kinondoni iko chini ya CCM, hakuna haja ya kuchagua mbunge ama diwani wa CHADEMA ama CUF kwa sababu hakuna uwezekano wowote wa serikali ya CCM kutoa ushirikiano kwa watu ambao hawatokani na chama cha CCM, hapa Tandale diwani wenu ni wa Upinzani muulizeni alichowafanyia cha maana ni kipi: Kheri James@Tandale#Kampeni za ubunge Kinondoni
[HASHTAG]#DARMPYABLOGUPDATES[/HASHTAG]

Hivi ina maana nchi hii wanaolipa kodi ni CCM tu?

Awakumpopoa Yani anakuja kitaa kwetu mtogole kututukana?
 
Back
Top Bottom