Recent content by Modereta

  1. Modereta

    Hizi taa za Jokate Mwegelo mbona bei ghali hivyo jamani au zina link na satelites?

    Swala sio uzuri na gharama ya kuweka, je Temeke hospital kuna dawa za kutibu watu bure? Wazee wanaambiwa wakanunue dawa, hiyo barabarani mbele yake, ikoje, nusu km ya lami ni sh 120 milioni je ni busara kutumia fedha hizo kuweka taa???kama maskini hana viatu ila ananunua shati la sh 500,000...
  2. Modereta

    Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    1. Askari yeyote anatamiwa kuwa MKAKAMAVU, ana NGUVU MWILINI, STAMINA YA MBIO, UVULIVU WA MATESO, ANATUMIA AKILI, NI JASIRI WA KUTHUBUTU! - Je tunao watu wa namna hiyo? wengi wao tunaona wako mashindano ya vitambi na fahari. 2. Askari anatakiwa aogopwe kwa umakini wake, ukuangalia ukakutana na...
  3. Modereta

    Searching for Drivers for HP Pavilion dm4 - 64 bit -

    Experts please help me get drivers for the microphone and camera on my HP Pavilion dm4 Notebook. It says no drivers installed. Tried to search and instal failed several times, but am note an expert. Help
  4. Modereta

    Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!
  5. Modereta

    Which country has best intelligency agency

    Mwenzako ametoa mifano, jadili/pinga kwa mifano si imani tu!
  6. Modereta

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Babu mwenyewe hajasema chochote kuhusu kuijaribu dawa yake maabara, ni watu wa wizara ya afya ndio walisema SIO BABU, tunazusha mengi mno, kwani mtu akienda kuichukua akaondoka nayo akaipime ana nini??
  7. Modereta

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Prove ni utapeli, usiseme tu juu juu. Kama vile kusema anaponyesha inataka proof, hata kubisha haponyeshi inataka proof pia.
  8. Modereta

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Kama vile baadhi yenu hamtaki kuamini lakini pia tusibishe kama hatukuwa wagonjwa tukaenda kutibiwa halafu hatukupona. Usiseme ni uongo kama hujajaribu ikashindikana. Ikiwa unataka kuthibitisha basi nenda kaone mwenyewe ndipo uwe na haki ya kupinga. Ni kichekesho kulinganisha hii na DECI, ni...
  9. Modereta

    Viongozi wa miaka nenda miaka rudi

    45 years ago, Kibaki and Michuki were in Cabinet and Kennedy was running for Presidency. Obama was 1 year old. 45 years later, Kibaki and Michuki are still in cabinet, and Obama is a candidate for the same seat Kennedy was running. In 45 years, Obamas father is dead, we have had Johnson...
  10. Modereta

    Wito: Gomeni kwenda kuangalia mechi ya Brazil na Taifa Stars!

    kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!????????????????????????????? waliodai watu watajaa mbona hoja imebadilika kuwa ni sawa tu hata kama hawakujaa. PARETO rule bila mkakati ni upuuzi. KUPENDA NA KUTAKA ni vitu viwili tofauti, KUPENDA ni window shopping, si lazima ununue, KUTAKA ni pamoja na uwezo wa...
  11. Modereta

    Open Society Initiative for East Africa (OSIEA)

    POSITION AVAILABLE TANZANIA PROGRAMME OFFICER Search closes: July 2, 2010 The Open Society Initiative for East Africa (OSIEA) seeks a Tanzania Programme Officer to develop and manage the Tanzania grant and advocacy portfolio. Reporting to the director, the programme officer...
  12. Modereta

    My dream man!! Je wewe kaka una sifa hizi?

    Sina uhakika kama hii ni kweli unatafuta mtu au ni changa moto hapa JF kuijadili. Kama ni kweli au la, naomba nitoe angalizo. Mara nyingi mambo yanayoleta shida na ugomvi kati ya wenza wawili ni mambo yasiyo na maana lakini ndi hasa mambo yanayomsibu mtu. Hakuna good reasoning katika tabia na...
  13. Modereta

    My dream man!! Je wewe kaka una sifa hizi?

    Sijui kama nikweli unataka ushauri au ni kuleta changamoto hapa JF. Lakini nitatoa angalizo hapa na pale kama kianzio. Mumu au mke hatafutwi kwa kutanguliza sifa uzitakazo, kwa vile hakuna wakati mtu anakuwa nazo zote. Pia si sifa zote utaziweka hapa, kwa mfano wewe ni mlafi, unapenda...
  14. Modereta

    EXECUTIVE DIRECTOR Africa Division - Human Rights Watch

    Full-Time Position Available: EXECUTIVE DIRECTOR Africa Division Deadline for applications: May 31, 2010 Human Rights Watch ("HRW") is seeking a highly-qualified, senior-level professional to head its Africa Division. Description: The Executive Director of Human Rights Watch’s Africa...
  15. Modereta

    Uzembe wa Idara ya Mawasilliano Ikulu na Mgogoro wa Ukweli

    Mkuu Shy, unazungumzia mfumo wa uendeshaji, lakini huo si mfumo wa kiutendaji!!!!!!!!!!!!!!!!!! KWANZA JE TOVUTI HIZO ZIKO SAWA??? Kama hapana basi MK ana hoja. Na tushughulikie hoja ya TOVUTI BOMU. Mifano ya Kiutendaji na uwajibikaji ipo, kwa mfano, Mambo serikalini yakienda ovyo unamwuliza...
Back
Top Bottom