gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,203
- 5,780
Acha kuzungumzia matumizi ya fedha za umma na mambo binafsi ya mtu na ndugu zake.Hayo matumizi ya ofisi ya mkuu wa wilaya yanatokana na kodi ndo maana kuna bajet na kuna ukaguzi wa matumizi na akitumia vibaya inaitwa ufisadi au ubadhirifu na tungekua serious anapelekwa mahakamani.sasa je hayo yako kwa mtu binafsi.Huwezi kumaliza matatizo ya watanzania wote na hasa kwa nchi masikin kama tanzania, hayo unayo yasema wewe yana mipango yake na budget zake, kwa sababu badae mtaanza aooh! Watanzania wanakula kutwa mara moja halafu Dc anapanda gari! Yaan mawazo ya maskini yapo kimaskini maskini mda wote
Sasa wewe nyumban kwako umenunua li TV tena liflat smart LED 42" la nini wakati huko kijijini kwenu una ndugu zako tena wa damu wanatembea peku au hawana hata viatu na nguo nzuri za kubadilisha?