Afu sisi ambao tulishupaza mishipa ya shingo kuwasihi waachane na ccm kwani imejaa dhuluma hata majanga kama hayo hayawezi kutukuta kwani tunakula kwa kalamu zetu.
OK haina shida tutaenda tena 2020 kuwakumbusha tena.
Haya mambo ilikuwa kawaida sana. Afu huyu mwalimu naye vipi pesa iko kwenye account yako hiyo ni ya kwako tu. Labda kama alikuwa anassign mahali filani. Ila kama walikuwa wanaweka bila hata kumjulisha. Akate rufaa hiyo ni kesi ya kitoto.
Tafuta wakili mzuri wakulipe hao kunguru.
Samahanini wakubwa.
Hivi huyu Michael Wambura kwanini huwa hapendwi na viongozi wenzake lakini chaguzi nyingi anashinda?
Huwa anapingwa sana.
Sio TFF
Sio Simba
Sio Kule Mara
Hakuna nafasi anagombea bila mapingamizi. Lakini huwa anashinda.
Mfano TFF walimfungia maisha na kuondolewa kwenye...
Duh kama ni kweli huyu jamaa ni yule wa stanbic Nyamongo, ni hatari sana. Wenzake waliuwa karibu wote ila yeye aliondoka anatembea kama anaenda kuhemea sokoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.