Recent content by Mo'Anna

  1. M

    JamiiForums Tanzania Makonda tutetee Na Sisi Tuliosomesha wanawake halafu wakatukimbia na uchumba ukafa.

    Hapo ndipo wanaume mnapofeli aisee...unamsomeshaje mchumba? ambaye si ajabu hata wazazi wake hawakujui🤣🤣 Ni kama mwanamke anaenda kupika, kudeki,kufua nguo kuanzia za mchumba wake mpaka shemeji mtarajiwa...lazima ulie baadae.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa maisha

    🤝
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uislaam ni mzuri sana ila wengi wetu hatujui

    😂😂😂 atajua wapi umuhimu wa mke wakati si ajabu tayari ana wake wanne?
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uislaam ni mzuri sana ila wengi wetu hatujui

    Sasa mtoa mada wewe inakuuma mali zako kuchukua mke wako/ mume wako? Ulitaka achukue nani sasa? Mama/ shangazi/ mjomba/ kimada????? Huyo mke ambaye wewe unalalamika kushare nae mali zako ndo huyohuyo ambaye anakufanyia mambo ambayo mama/ shangazi hawezi kukufanyia. Mke anaenda zaidi ya pale...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa maisha

    Maisha hayana SI unit wala hayana Script.. Ukisema umewahi/ umechelewa maisha unatumia kipimo gani? Mfano, Kama muda wa kufika ofisini ni saa 2 asubuhi, nikifika saa mbili nanusu asubuhi nitasema nimechelewa and vice versa is true. Sasa kwenye maisha hakuna kipimo kama hiko. Hii nadharia ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa maisha

    🤣🤣🤣🤣
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi penda hivi?

    😆😆😆 say it again
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Neno la Leo - Kwa wanaodhani ndoa ni rahisi, si kweli

    Chukua soda kwa mangi aisee...umeongea point kabisa
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Neno la Leo - Kwa wanaodhani ndoa ni rahisi, si kweli

  10. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Yaliyojiri Kuapishwa kwa Mawaziri wateule Hussein Bashe na George Simbachawene

    Ndugu ni Dhambi** sio zambi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kisimbusi gani kina chaneli za dini hasa zile za kinabii (prophetic channels)

    Star tyms inaomyesha Emanuel Tv ya Tb.Joshua
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha mshahara level ya TRSS 4

    Habari za jioni! Naomba kufahamu kiwango cha mshahara kwa daraja la TRSS 4 inaweza kuwa ni shilingi ngapi? Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom