UISLAM SIO UGAIDI. SOMENI NA KUELEWA UFAFANUZI HAPO CHINI. ALIEULIZA NI MWISLAM NA AMEJIBIWA NA MUISLAM.
JE NINI HUKUMU YA MWENYE KUJIUNGA NA DA‘ISH=ISIS
Nini hukumu ya kujiunga au kuunga mkono, kwa njia yoyote ile, makundi yenye siasa kali, kama Daish, kwa kingereeza: ISIS, na mengi...