Parking Fees Wilaya ya Ilala inatuumiza

Mo Mk

Member
Jan 16, 2017
8
10
Tunaumia sana parking 4,500/= kwa siku. Ada ni kubwa ukilinganisha na kipato. Shs 500 kwa saa inatuumiza.

Tumlilie nani?
 
Tumia mwendokasi. Hiyo kodi ni ku-discourage watu kwenda na magari mjini. Kupunguza foleni na usumbufu mwingine usio wa lazima.
 
Back
Top Bottom