Ongeza wakina Cab snoop, Dj Snake mafiki zolo, na makilikili mbona walisumbua sana aisee?..
Mziki ni merodi sio lugha hata mimi naungana na wewe Sema diamond anachozidiwa ni management wanageria wengi wanaishi Marekani na wanageria ndio taifa linaloongoza kuwa na watu wengi nje ya Africa kuliko...
Maendeleo yapi haya ya wizi wa pesa za umma 2.4 trion na makontena ya Bashite kukwama bandalini na kutolewa kinyemela na kuuzwa?
Au maendelea ya kukamata vijana mtaani kisa vitambulisho fake vya elfu 20?
Ni mpuuzi pekee ndiye anayeweza kusema jamaa analeta maendeleo.
Utoto, Udini, Urafiki, Kuogopana na kulindana
Laana ya kuwaua wapemba mwaka 2000 na kuiba pesa za umma na Kuwapa watu kesi kama alivyofanya kwa Generali Ulimwengu na utata wa kifo cha baba wa Taifa hizi tuhuma zitamtafuna milele.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.