Recent content by mo effect

  1. mo effect

    JamiiForums Tanzania TCRA mmebariki huu Upuuzi wa Viongozi wa Timu za Ndondo Cup Kusifia kufanya Ushirikina Mubashara Redioni Clouds FM?

    Hiyo ni burudani tu, tafuta hela kijana acha makasiriko
  2. mo effect

    JamiiForums Tanzania Rais itapendeza ukivunja Baraza la Mawaziri kwanza

    Asante studio
  3. mo effect

    JamiiForums Tanzania Ukiacha Wabunge, kundi jingine linaloila keki ya taifa kisawasawa ni hili hapa

    JF ni anonymous sasa unaweka namba za simu tukizitumia tukakukamata kukuhoji halafu tukakubinya pumbu kisawasawa utamulaumu nani..?
  4. mo effect

    JamiiForums Tanzania Safari za Rais Samia kwenda Dodoma - Dar na Dar - Dodoma zimekuwa nyingi sana

    Tunatekeleza ilani
  5. mo effect

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya siasa Mimi ccm hata wamuweke Nani hapo juu automatically namuona ni tatizo.

    Kwa uandishi huu sidhani kama umemaliza hata darasa la 7 [emoji1][emoji1] Kunguni wewe
  6. mo effect

    JamiiForums Tanzania Natamani kusoma Master's nje, anayeujua utaratibu anielekeze

    Na degree yote hiyo bado unaomba msaada kwa vitu vidogo kama hivyo. Kweli Tz tuna elimu ya ajabu sana.
  7. mo effect

    JamiiForums Tanzania Library iko Munich Allegmagne

    Uko na ufala
  8. mo effect

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli ni urithi wetu

    Wamalizie pia na chato liwe jiji
  9. mo effect

    JamiiForums Tanzania Mkitaka tumsahau na tusimkumbuke kabisa Hayati Magufuli, fanyeni haya...

    Hii kondoo inaandika upupu tu
  10. mo effect

    JamiiForums Tanzania Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

    Kama unavyosema tuwe makini na marekani. Hata sisi inapaswa tuwe makini na wewe, ulishawachonganisha watu kwa maandiko yako ukasababisha wakafungwa..
  11. mo effect

    JamiiForums Tanzania Vitabu 54 nilivyosoma na kuchambua kwa kina mwaka 2019, na jinsi ya kuvipata

    Hao ni wale wamama wa nyumbani wana muda mwingi wa kurelax ndio maana wana uwezo wa kusoma vitabu vingi.
  12. mo effect

    JamiiForums Tanzania Aina 50 ya Online Business Platforms unazoweza anzisha Tanzania na uka-Dominate Soko

    Yako uliyotengeneza ukapiga mpunga iko wapi..? au unataka ununuliwe IST bure bure kwa uharo huu
  13. mo effect

    JamiiForums Tanzania Kipi ni nafuu kati ya Vinyl wrap na Paint job?

    Kuchoma mkaa ni nafuu zaidi
Back
Top Bottom