Recent content by Mnyukano

  1. M

    Nina mapenzi ya dhati lakini sipati mwanaume mwenye mapenzi ya dhati

    Wewe ndo una shida, anakuja kwako kupiga popuchi afu anaondoka na kiu, akipiga wengine unalalamika. Mpe hadi mwili utulie tuli. Migogo yako hasara yako.
  2. M

    Kati ya mwanamke/mwanaume, yupi ana uwezo wa kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi?

    Kama hakutani na mwanamke atakuwa anamasterbate balaa. Mwanaume mwenye umri wa miaka 65 above anaweza kukaa hata mwaka na zaidi
  3. M

    Simba SC yailaza Ruvu Shooting, yabaki kileleni kwa tofauti ya alama nne

    Mkuu Sembo hata kwenye reserve hayupo
  4. M

    Simba SC yailaza Ruvu Shooting, yabaki kileleni kwa tofauti ya alama nne

    Sasa Mavugo ndo mnyama mmempoteza, bora arudi Burundi. Figisu za mnyama haziwezi
  5. M

    Simba SC yailaza Ruvu Shooting, yabaki kileleni kwa tofauti ya alama nne

    Kweli mna kiu ya ubingwa! !!! Hako kagoli kamoja ndo kanawaamsha popo?
  6. M

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    ZANA INBOX NIKUPE USHAURI MZITO
  7. M

    TANGAZO: Mkutano mkuu wa wazi wa CHADEMA hapa JamiiForums

    Hivi waliounda UKIWA hawaalikwi kwenye huu mkutano? Nashauri waalikwe
  8. M

    Miss chaga

    Wewe na hoja zako za maw Wewe sema wazi kama umezimika kieleweke Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
  9. M

    Wale wazinzi zingatieni hili

    Ikitokea huna dada wala mke, kwa huo ufunuo waweza kuziniwa wewe mwenyewe. Du, jamaa kaoteshwa impossibles
  10. M

    Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

    Kama kutongoza kungekuwa pesa na gari, basi waendesha mkokoteni, wanafunzi na saloon boyz wasingewatafuna kina dada kilaini tena wengi
Back
Top Bottom