Wale wazinzi zingatieni hili

Wale wazinzi zingatieni hili

Nimekuja huku kukumbushana tu maana hata mimi ukumbusho huu unanihusu.
Zinaa ni uchafu na ni njia mbaya lakini wanaadamu tumeihalalisha rasmi.Sasa ni vyema tukazingatia yafuatayo;

Ukizini na mara moja uchafu huo wa zinaa utakuandama mpaka na wewe watu wako wanne wa karibu nao waziniwe vile vile.Nao ni mama yako mzazi,dada yako,mkeo na binti yako.Na wanaziniwa kidhalili ili kufidia fujo unazofanya.Ukimzini dada wa mtu kwa pesa basi dada yako anaziniwa bure.

Ukimzini dada wa mtu gesti basi dada yako anaziniwa kwenye mapori.Ni malipo kamili kwa wafanyao uchafu huu.

'What goes around comes around'.
Mh! We jamaa umeitoa wapi hii? ya kimwendo kasi mbona hainiingii akilini
 
Nadhani hayo "maandiko" ni kwa wale watakaohamia sayari ya mars.
 
Ikitokea huna dada wala mke, kwa huo ufunuo waweza kuziniwa wewe mwenyewe. Du, jamaa kaoteshwa impossibles
 
Sasa hao wanaokipizia wanatokea wap?
Mfano: Nimemlia dada yako guest, dada yangu ataliwa porini...
Aliyemla dada yangu porini yeye dada yake ataliwa wap? City center kabisa au?? Theory yako inaitaji uchumguzi wa kina...

Pia kama ni maandiko, am sorry to say that we don't have such God ambaye analipa baya kwa baya zaidi!

Kuogopesha sio njia ya kuzuia zinaa, toa elimu; faida na hasara na pia wakati gani ni sahihi kufanya, sio kutishia

Am just give out my views
Neno langu sio sheria.

Mungu nisamehe kama kuna amri ngumu basi ni hii ya sita‍♀️
 
So much negative energy is reflected towards sex, no wonder the is no balance on it. Paradigm change is necessary to see the reality. Remember; what you think, you create (whether negative or positive).
 
Naona kuna dalili ya mtu kuliwa dada yake hapa
 
Law is not hard science since it involves human behaviour which can not be predicted by hard science or does not follow scientific principles

OK Sir, whether it is law, hard science, norms, traditions or culture, you hammer others, expect the same effect. Simple like Newton's third law.
 
Back
Top Bottom