Recent content by MnyooshajiMkuu

  1. M

    Said Lugumi avunja ukimya kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoikabili kampuni yake

    Tulipiga kelele nyingi sana kwa Dau, leo wote tupo kimya....tusubiri suprize
  2. M

    Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

    Sasaa yule Bikira atabaki akifanya nini pale maana alikuwa anabebwa sana na huyu Gardner
  3. M

    Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

    Sasa kwanini unapaniki maana unaona kama haiwezekani vile kama wametimuliwa watimuliwe tu
  4. M

    Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

    Mbona kama mihemko imekupanda, umelala njaa?
  5. M

    Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

    Ni vyema kuweka akiba ya maneno hapa Tarehe Moja usijekosa pakujificha
  6. M

    Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

    Lazima tujifunze kufuata taratibu na Kanuni kama jipu lao limekuwa kubwa na limeiva wacha litumbuliwe tu maana hakuna namna
  7. M

    Njia sahihi ya kupata asilimia ya kura za urais Zanzibar, Jecha yuko sahihi?

    Kawaida asilimia ya kura huwa inatazamwa toka kura halali (VALID VOTES) na si kura zilizopigwa(TOTAL VOTES) . Maana yake ni kwamba Dr Shein ana kura 299,982 Kati ya kura halali 328,327(valid votes) na si 299,982 kati ya kura 341,865(total votes) kwasababu asilimia inatafutwa toka kwenye Valid...
  8. M

    Zamaradi Mketema na Ruge Mutahaba waanika mahusiano yao ya kimahaba

    Katika hali iliyoshtua wengi, Mtangazaji wa Clouds Tv , Zamaradi Mketema, ametangaza hadharani juu ya uhusiano wa kimapenzi kati yake na "BOSS" wake Ruge Mutahaba. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zamaradi ameweka picha inayoweka wazi Mahaba ya wawili hao, picha ambayo ilipigwa wako was eneo...
  9. M

    Maalim Seif aiondoa familia yake Zanzibar

    Hawa ndio Viongozi wetu ambao wanajifanya wanatupenda sana lakini wako busy kuangalia maslahi ya Familia zao na ndugu zao kwanza. saa hizi anakula bata hotelini
  10. M

    Rais Magufuli apiga simu Clouds TV na kuwapongeza kwa kipindi cha Clouds 360

    Kizuri chajiuza kibaya Chajitembeza.....Bravo Clouds
  11. M

    Masoud Kipanya atabiri hali mbaya kwa CHADEMA

    Sasa mimi nikijibu nitakuwa Sefue au?
  12. M

    Masoud Kipanya atabiri hali mbaya kwa CHADEMA

    Kwanini tusianze na Sefue
Back
Top Bottom