Recent content by mnyonge wa hali ya chini

  1. mnyonge wa hali ya chini

    JamiiForums Tanzania Mali itatoboa kweli? Mbona kama imezidiwa hoi

    Mrusi kawaingiza chaka kwa kuwaahidi ulinzi wakati yeye mwenyewe ameshindwa kujilinda dhidi ya Ukraine!
  2. mnyonge wa hali ya chini

    JamiiForums Tanzania COSTA inauzwa

    Weka picha za mionekano mbalimbali na bei ya kuanza!
  3. mnyonge wa hali ya chini

    JamiiForums Tanzania Simba Day yaingia doa yakubali kichapo | Simba SC 0-1 Kenya Police | Mechi ya kirafiki | Uhuru | Agosti 8, 2026

    Simba kapigwa bao akiwa kwenye siku zake 😂😂😂
  4. mnyonge wa hali ya chini

    JamiiForums Tanzania Marathon ya Millioni 334 ya CHADEMA, sijui kama CCM wanaelewa logic yake

    Yaani Chadema ipokee fedha za mtu kama wewe uliyediriki kushika bunduki na kuua Watanzania zaidi ya 500?
  5. mnyonge wa hali ya chini

    JamiiForums Tanzania Kupeleka 1.2 Trilion kwa ajili ya kuibomoa na kuijenga Muhimbili ni kumuhujumu Rais Samia

    Huyu huyu wa lita moja ya petrol ni dola elfu nane? Ndo agundue hujuma?
  6. mnyonge wa hali ya chini

    JamiiForums Tanzania FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

    Mpira umeisha kwa amani sisi Tanzania kipaumbele chetu ni amani hatutaki haki.
  7. mnyonge wa hali ya chini

    JamiiForums Tanzania John Heche: CHADEMA haiko tayari kwa Maridhiano

    Cha kusikitisha ni kwamba hata Maduro alikuwa na wafuasi tena wengi sana. Lakini ukiangalia idadi ya raia walioingia barabarani kushangilia anguko la huyo Maduro unabaki kushangaa tu.
  8. mnyonge wa hali ya chini

    JamiiForums Tanzania TEC ivunjwe imekiuka miiko ya Kikatoliki kwa kushindwa kueneza upendo kwa wote

    Usijali tutaitumia B Usijali tutaitumia Bakwata maana ndo yenye wasomi
  9. mnyonge wa hali ya chini

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kevin Mbogo, mfadhili wa Jumuiya Wazazi CCM, afariki kwa ajali ya gari

    Sasa kazi ya kutiki amemwachia nani? Mbona amekuwa mzembe wa kuleft mapema kiasi hicho?
  10. mnyonge wa hali ya chini

    JamiiForums Tanzania Imam wa Ujerumani: Ukimalizana na bikira mmoja, anayefuata atakuwa tayari kwa ajili yako. Mabikira hao hawataoneana wivu

    Aiisee!! Huyu anataka hawa jamaa waongeze kasi ya kujitoa mhanga ili wawahi hao mabikira. Kwakweli hizi akili ni hatari sana.
  11. mnyonge wa hali ya chini

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Hatubadili chochote msajili akitaka akifute CHADEMA

    Kwahiyo na CCM yetu isajiliwe kama kukundi cha mjahidini?
  12. mnyonge wa hali ya chini

    JamiiForums Tanzania Huruma ya Watanzania kwa viongozi wao sasa hivi ni 0%

    Kwani viongozi wenyewe wanawapenda raia wao?
  13. mnyonge wa hali ya chini

    JamiiForums Tanzania Msaada wa website nzuri ya kupaste ulr kudowload movies for free zinazokua kwenye website za kuuwatch online tu.

    Tumia SnapTube inapatikana google, Appstore wala play store haipo
  14. mnyonge wa hali ya chini

    JamiiForums Tanzania Huyu Shekhe Mwaipopo anafanya Waislamu tuonekana hatuna akili

    Kwani kafanyaje tena shekhe wetu jamani?
  15. mnyonge wa hali ya chini

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislam wa Africa hutawakuta wanapaza sauti kupinga mauaji ya waafrica wenzao wanauliwa na RSF kundi la kiarabu?

    Hao waislamu wa hapo Sudani wao hawatuletei ngamia na tende acha wafe tu.
Back
Top Bottom