Nakaribia kukubaliana na wewe. Wivu ni DHAMBI mbele za Mungu ,hivyo wengi wanaishi katika dhambi hiyo na Mungu hawezi kuachilia baraka zake.Ndio maana wengi hulia vyuma vimekaza
Umesahau BABU wa LOLIONDO na kikombe cha plastic na maji taka; ni Mlutheri yule. Hatumfahamu Mungu kwa madigirii/PHD etc.; wasingekuwa walevi, wavuta sigara wazinzi, wapigadili wa kawaida dhambi lukuki. Neno la Mungu ni ROHO na linatambulikana kwa ROHO mtakatifu sio kwenda shule za kidunia. Yako...
Tunaomba na kubarikiwa kwa JINA LA YESU pekee, na halihitaji msaada wa kitu kingine chochote ndugu yangu. Kote kwenye nyongeza ya jina la YESU ni upotofu. Yesu kielelezo chetu hakutuachia mafuta, maji wala kifaa kingine chochote.
Mungu ni Boss wa maboss wote; haulizwi kwanini, huo ni utovu wa nidhamu. Chukua neno hili la Biblia;;;.WATU WANGU HUANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA''. Maarifa ni kulifahamu neno sahihi la Mungu
Najua neno moja tu; Kwa jina la YESU, pepo wanatoka, vilema wanatembea, vipofu wanaona etc.......Yote yamethibitishwa na neno la MUNGU. Sio kwa jina lingine liwalo lolote. Hebu fuatilia mahubiri ya watumishi wa Mungu wakati wa uzinduzi wa jukwaa la JKK pale BCC Mbezi kwa Askofu Gwamanya
Ni huzuni kubwa; kwanza kuua ni dhambi mbele za Mungu. kwanini hatua mahsusi kudhibiti hili la ''Wananchi wenye hasira kali'' zisichukuliwe na vyombo vyetu vya
[QUOTE="APEFACE, post: 34189289, member: 39 ...eti kalewa
1.Biblia inaelezea juu ya nyoka wa shaba ambapo wana Wa Israeli walipoumwa na nyoka jangwani walielekezwa kumwangalia nyoka wa SHABA iliyekuwa amewekwa juu ya mti na walipona pale walipoumwa. Hospitali , mashirilka hayo yameiga mfano huo na kutumia alama hiyo kama ishara ya uponyaji.
2. Nyoka ni...
Siku za mwanadamu duniani sio nyingi na zimejaa taabu. Ni kama mvuke, maua ambayo huchanua na kunyauka..........Tujiweke tayari kwakuwa hatujui saa wala siku. Haya ni maandiko ya Biblia takatifu. Mungu akisema amesema lazima itimie. Mungu mhukumu wa haki ndiye ajuaye mahali alikofikia rafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.