Recent content by Mnkeni jay

  1. M

    Moto mkubwa unawaka maeneo ya Mwenge kwenye Stendi ya Mabasi

    Na bado gas inakuja, huo moto wake ni balaa!
  2. M

    Ajira za walimu sekondari 2013

    Siku yoyote ile watatoa!
  3. M

    Ajira za walimu sekondari 2013

    mh! Ngoja tuwackilizie, yani tunashindwa kuandika mkataba mpya private!
  4. M

    Ajira za walimu sekondari 2013

    bunge litaisha lin? Kwan bunge na post kuna uhusiano gani hapo.
  5. M

    Waalimu wapya tunapostiwa lini?

    Ajira ni leo coz january inaisha leo, au niliwaelewa viongozi vbaya?
  6. M

    Ajira za walimu sekondari 2013

    Huna ujanja msomi, ajira yako ipo mikononi kwa mwanasiasa,tulia hapo hapo!
  7. M

    Posti za mifugo na uvuvi

    Tangu lini?
  8. M

    Waalimu wapya tunapostiwa lini?

    MH! tutakwama cku moja, unatoa ahadi kwa kujiamiiini kumbe huna kitu mfukoni!!
  9. M

    Ajira mpya za ualimu 2013

    Vuta subira tafadhali, kuwa na imani na serikali yako iliyopo madarakani!!
  10. M

    Ajira mpya za walimu 2013?

    february ndio kuanza kaz au ndo kupata post ili tuanze march? Wanazingua hawa wanasiasa sana.
  11. M

    Ajira mpya za ualimu 2013

    Hahahahahaha!! Chezea wanasiasa wewe,
  12. M

    Waalimu wapya tunapostiwa lini?

    Jaman naskia ajira hakuna tena hadi mwez wa tano, ni kweli?
  13. M

    Waalimu wapya tunapostiwa lini?

    Kweli sasa sitochezea kazi, popote kambi, mbona tandahimba ntapaona kama dar tu!
Back
Top Bottom