Recent content by Mniko The Poet

  1. Mniko The Poet

    Welcome here to get your copy of this wonderful poetry book.

    Hello friends, I am a Tanzanian poet. My poetry book is now published in AMAZON so as everyone of you can get it easily by online purchase. Don't worry because the price of the book is low, fair and reasonable. The book is called 'SONGS OF AFRICAN FATHERS'. Inside the book there is a plenty of...
  2. Mniko The Poet

    Nina wazo la kuanzisha Reality TV show

    mkuu naomba nikuone pm nami nina suala kama hilo tufanye biashara.
  3. Mniko The Poet

    Vitabu vizuri vya fasihi nipendavyo kusoma. Je, wewe wapenda kusoma vitabu gani?

    Heshima kwenu wana JF, Kuna baadhi ya waandishi wamebarikiwa na Mola kuandika vizuri lakini pia wamejifunza zaidi kuwa wajuzi na wabobezi wa kuandika tamthiliya, riwaya na ushairi kwa ustadi na weledi mkubwa ili kutuburudisha na kutuelimisha pia. Kuna baadhi ya vitabu vya...
  4. Mniko The Poet

    Hongera Tanzania: Watanzania wawili wamejinyakulia tuzo ya MABATI- CORNELL.

    mkuu utakuwa unafahamu historia ya kiuandishi kuhusu huyu jamaa, hebu tudadavulie kuhusu maneno hayo yenye rangi nyekundu ili tujifunze kitu. Angalau na sisi uandishi wetu uendelee mbele.
  5. Mniko The Poet

    Hongera Tanzania: Watanzania wawili wamejinyakulia tuzo ya MABATI- CORNELL.

    Mnaomfahamu tufahamisheni kuhusu hili.
  6. Mniko The Poet

    Hongera Tanzania: Watanzania wawili wamejinyakulia tuzo ya MABATI- CORNELL.

    Heshima kwenu wadau wa JF. Ninachelea kusema kuwa ninafurahi sana kuona vijana wenzangu wa kitanzania hasa waandishi wa vitabu vya fasihi kwa lugha ya kiswahili. Mnamo 15/4/2018 watanzania wawili wameng'ara katika anga za kimataifa kwa maandiko yao ya fasihi bora na yenye kuelimisha jamii...
  7. Mniko The Poet

    Nimealikwa Botswana; Mnishauri mambo muhimu ya kuzingatia kabla sijaenda huko

    Wakuu mwenye kujua ofisi za ubalozi wa Botswana nchini Tz uko wapi jijini Dar anielekeze maana nimetafuta contacts zao online sijazipata.
  8. Mniko The Poet

    Nimealikwa Botswana; Mnishauri mambo muhimu ya kuzingatia kabla sijaenda huko

    Natoa pia shukrani kwa wote wanaotoa maelekezo na ushauri mzuri, shukrani sana.
  9. Mniko The Poet

    Nimealikwa Botswana; Mnishauri mambo muhimu ya kuzingatia kabla sijaenda huko

    #andreakalima una nidhamu mbaya sana, wewe unafikiri kila mtanzania anayeenda nje anaenda kufanya ushoga, jirekebishe thread hii haihusiani na ushoga kwa namna yoyote ile. Jirekebishe.
  10. Mniko The Poet

    Nimealikwa Botswana; Mnishauri mambo muhimu ya kuzingatia kabla sijaenda huko

    Teh teh wakuu naona mnashusha data za Botswana, msisahau kunipatia maelezo kuhusu mambo niliyouliza kwenye thread hapo juu.
  11. Mniko The Poet

    Nimealikwa Botswana; Mnishauri mambo muhimu ya kuzingatia kabla sijaenda huko

    Hamjambo wadau wa JF. Nimepata mwaliko wa kwenda kwenye tamasha moja la sanaa huko GABORONE-BOTSWNimepata mwaliko wa kwenda kwenye tamasha moja la sanaa huko GABORONE-BOTSWANA. Ninaomba kujua kuhusu yafuatayo kabla sijaamua kwenda huko; 1. Gharama ya Passport ya kusafiria kwenda Botswana...
  12. Mniko The Poet

    Nunua kitabu hiki cha fasihi kwa tsh, 2500 tu.

    Natumaini hamjambo wadau wa mashairi na fasihi kwa ujumla. Baada ya kumaliza kuandika kitabu changu cha ushairi kwa lugha ya kiingereza kinachoitwa 'SONGS OF AFRICAN FATHERS' kitabu hiki kinazungumzia nasaha na misemo kadha wa kadha iliyosemwa na viongozi wetu wa kiafrika kwa ajili ya ustawi...
Back
Top Bottom