Vitabu vizuri vya fasihi nipendavyo kusoma. Je, wewe wapenda kusoma vitabu gani?

Heshima kwenu wana JF,

Kuna baadhi ya waandishi wamebarikiwa na Mola kuandika vizuri lakini pia wamejifunza zaidi kuwa wajuzi na wabobezi wa kuandika tamthiliya, riwaya na ushairi kwa ustadi na weledi mkubwa ili kutuburudisha na kutuelimisha pia.


Kuna baadhi ya vitabu vya riwaya/tamthiliya/ushairi ambavyo nikivisoma huwa sichoki kuvirudia maana vinazungumza kuhusu maisha halisi tunayoishi kama jamii.


Vitabu ambavyo nimewahi kusoma nikaburudika na kuelimika pasipo kuchoka ni hivi;


1. Mfalme ****.

2. I will marry when I want (kuna mhusika hapa anaitwa John Muhuuni amedadavuliwa vyema sana).

3. An enemy of the People.

4. Things fall apart.

5. Songs of Lawino and Ocol.

6. Stray birds.

7. A man of the people.

8. The Beautyful Ones are not yet born (tittle yake iko kama ilivyo wala usiisahihishe hata kidogo kwenye neno BEAUTYFUL maana mwandishi alidhamiria kitu fulani kuiweka hivyo ilivyo).

9. My favourite poems are; ROAD NOT TAKEN by Robert Frost and 'EAT MORE' by unknown author.

10. MFADHILI.



JOURNALS na MAGAZINES ninazopenda kusoma bila kuchoka ni hizi;



1. BONSAI JOURNAL (ukiingia kwa website yao unadownload bure).

2. The Sun.

3. The 13 Alphabet Magazine.


JE wewe umewahi kusoma/unapenda kusoma kitabu gani kinachokufanya usichoke kukirudia maana unaona uhalisia wake kwa maisha ya jamii yako? Vitaje vitabu hivyo au journals ama magazines nasi tupate kuvijua na kuvisoma.


Karibuni,
My most favorite poem inaitwa 'the cold within'
Very deep aisee
 
naweza lipataje hilo shairi nilisome na mimi mkuu

The Cold Within

Six humans trapped by happenstance
In bleak and bitter cold.
Each one possessed a stick of wood
Or so the story’s told.

Their dying fire in need of logs
The first man held his back.
For on the faces around the fire
He noticed one was black.

The next man looking across the way
Saw one not of his church
And couldn’t bring himself to give
The fire his stick of birch.

The third one sat in tattered clothes.
He gave his coat a hitch.
Why should his log be put to use
To warm the idle rich?

The rich man just sat back and thought
Of the wealth he had in store
And how to keep what he had earned
From the lazy shiftless poor.

The black man’s face spoke revenge
As the fire passed from his sight.
For all he saw in his stick of wood
Was a chance to spite the white.

The last man of this forlorn group
Did nought except for gain.
Giving only to those who gave
Was how he played the game.

Their logs held tight in death’s still hands
Was proof of human sin.
They didn’t die from the cold without
They died from the cold within.
 
‘Aliahidi ajira kwa vijana, elimu bora kwa wote, maisha bora kwa

wananchi wa Ukiwa, pia aliahidi kujenga nyumba nzuri za kuishi

waalimu sambamba na kuwalipa mishahara yao kwa muda

muafaka lakini hadi muda huu hajatimiza ahadi yoyote na maisha

yanazidi kuwa magumu na yanayokatisha tamaa’ alisema Kiraka.



Daaaaah, bonge la riwaya.... nimeipenda sana.. AHADI ZA MCHUMBA
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom