Recent content by Mnhamba jr

  1. Mnhamba jr

    JamiiForums Tanzania Huyu rafiki yangu anatokaje kwenye hili..?

    kuzaa na mdogo wa mke,,,,,timbwili lake si mchezo.
  2. Mnhamba jr

    JamiiForums Tanzania Mke wangu, Nimekuchoka!

    Lea tu mkuu, ni baraka hizo.
  3. Mnhamba jr

    JamiiForums Tanzania Polisi waruhusu Mikutano ya hadhara.. Je, wamemgeuka Katambi?

    Huyu anasema hakuna ugaidi, kule watu kadhaa wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi. Hii nchi ngumu nyie acheni tu.
  4. Mnhamba jr

    JamiiForums Tanzania Ulijiachia na Ukafaidi Starehe Mwenyewe, Leo unaleta usumbufu

    Nilishindwa timiza ahadi ya pesa 60k back then ndo natoka chuo 2020 niko broke vibaya, yule dada akatumia nafasi hiyo hiyo akanibwaga,,,,,maisha yakaenda akaolewa nami nikaoa ila isivyo bahati yeye alikaa ndoani miaka miwili tu wakaachana huku akiwa na mtoto tayari. Huku na huku akajirudi kwangu...
  5. Mnhamba jr

    JamiiForums Tanzania Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Mbona bei ndogo sana!
  6. Mnhamba jr

    JamiiForums Tanzania TANZIA Seleman Said Bungara (Bwege) afariki dunia

    Ndo yeye
  7. Mnhamba jr

    JamiiForums Tanzania TANZIA Seleman Said Bungara (Bwege) afariki dunia

    Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu. 18 November 1961 - 30 Machi 2026 Pia soma Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri...
  8. Mnhamba jr

    JamiiForums Tanzania Kuna demu nilitaka kumuacha akaniwahi nifanyeje aisee sijawahi kuachwa na demu

    achana nae, kubali na kama amekuandikia sms mwambie "sawa" usiongeze neno. Utaanza kuumia wewe lakini ukipona nae ataanza kupitia hali uliyopitia. Man up.
  9. Mnhamba jr

    JamiiForums Tanzania Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

    Ha ha ha haaa,,,,,basi bhana jana sina hili wala lile simu yangu inaita kucheki ni nani anapiga nakuta ni ex wangu (huyu huwa tunapasha kiporo) tukapiga story mbili tatu nikamwomba appointment akaridhia tukaagana.,,,,dk moja kupita sms inaingia ni yeye akinambia anashida na 30k.
  10. Mnhamba jr

    JamiiForums Tanzania Nipeni Mbinu za kushinda vita za makazini, naona vita imekua kubwa

    Pole sana mkuu na hakika vita ni karibia sehemu nyingi makazini ila jipe moyo. Binafsi nilipohitimu chuo nkapata kibarua mahali fulani kitengo kizuri tu na kuna mtu alinipisha yeye akapangiwa sehemu nyingine lakini ni ya chini,,,,aiseee vita ile ilichachamaa jamaa akawashawishi wafanyakazi wengi...
  11. Mnhamba jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa CCM unawaita Wananchi KENGE? Anaishauri DOLA iendeleze Utekaji na Uuaji dhidi ya Kenge (Watanzania)?

    Halina akili jinga hili, linatumia matako kufikiri.
  12. Mnhamba jr

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni ngumu wakuu! Hebu fikiria uungane na mtu ukubwani halafu uanze kumletea sheria zako

    hakika mkuu, mie nimeoa mwaka 2021 mapema tu baada kutoka chuoni. Wote ni graduates ila sasa utofauti wetu ambao hadi sasa ugomvi hauishi ni kwamba mimi napenda sana manukato ila mwenzangu yeye hapendi aiseee,,,,,kila siku asubuhi lazima tugombane. Huwa namuuliza mbona hata siku ya kwanza...
Back
Top Bottom