Recent content by Mngoye

  1. M

    Watanzania waliokwama India kwa sababu ya Corona kurejeshwa nchini hivi karibuni

    Ila watu walioko huko wanalalamika sana kwamba nauli ni kubwa kupita kiasi, nauli ni US dollar 850 inakaribia Tsh 2 million kuja tu
  2. M

    Second President of the Republic of Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi dies at 95

    RIP mzee Moi, pamoja na mambo mengine lakini ulionesha njia kwa viongozi wa Africa ambavyo wanatakiwa kuwa baada ya kishindwa uchaguzi, nakumbuka uliposhindwa uchaguzi na kuulizwa kwanini hujakataa matokeo, ulijibu jibu rahisi kwamba 'hiyo ndiyo demokrasia '
  3. M

    Marekani na Uingereza wanapomlilia kuwadi wao Kabendera,wakishindwa kutoa pole ya msiba wa watu 60 Morogoro

    Kweli kabisa, wao walipewa nafasi ya kutengeneza ARV wakatengeneza fake, leo wanathubutu kuwasema mabeberu.
  4. M

    Ni kwanini IGP Sirro hataki kujiuzulu pamoja na kushindwa kazi?

    Wewe Du! hadi nahisi aibu as if mimi ndo nimeanzisha uzi, kifupi ni kwamba jeshi la polisi na zimamoto kila kimoja kina utawala na uongozi wake.
  5. M

    Ni kwanini IGP Sirro hataki kujiuzulu pamoja na kushindwa kazi?

    Weka takwimu acha mambo ya kwenye vijiwe vya kahawa, unaposema IGP ndiye aliyefanya vibaya kuliko wote unatumia vigezo vipi kuthibitisha ulichoandika, pia unapohusihanisha gari la zimamoto na IGP unataka kutuonyesha uwelewa wako finyu kuwa hujui jeshi la zimamoto lina kamishina jenerali wake...
  6. M

    Ajali ya moto Morogoro: Itakuwa ajabu Kama RPC na Kamanda wa Fire hawatawajibika.

    Kwa kweli mengine tuwapumzishe polisi, sasa wangefanya nini Kwa ule moto, au ndo waliwaambia watu waibe mafuta?
  7. M

    Hoja kuu mbili kuhusu taarifa iliyosambazwa na ubalozi wa Marekani, Tanzania

    Njoo Tanzania uendelee kutembelea maeeneo yaliyotolewa tahadhari ni siyo wewe uko nchi salama halafu unatuamisha utumbo wako hapa, polisi wenyewe wamekiri taarifa hizi zipo na wanazo sasa wewe unawashwa nini hadi uanze mitizamo isiyo chanya wakati ikitokea kweli tulioko huku ndo tutaathirika
  8. M

    Ubalozi wa Marekani watahadharisha kutokea kwa mashambulizi maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam

    Usilete ubabaishaji wako kwa kila jambo, wapuuze mwenyewe, asante USA kwa taarifa
  9. M

    Ushauri kwa Kamishna Mkuu wa TRA (Kiuongozi)

    Pia Pia aangalie kwa makini kitengo kinachohusika na utoaji wa leseni za udereva pananuka kama siyo kuna uozo wa rushwa mbaya sana
  10. M

    Je, Wafanyabiashara waliofika Ikulu ni walipa kodi wazuri au wakwepa kodi?, CAG akiwakagua tunaweza kupigwa butwaa!

    Uhakika upo kwasababu wao wenyewe wamekiri kuwa huwa wanalazimika kukwepa ama kudaganya kulipa kodi sababu ya nyie watumishi wa TRA huwa mnawabambikia kodi kwa kutafsiri kivyenu sheria ili kukaribisha mazungumzo ya rushwa kwa faida zenu binafsi
  11. M

    Wizara ya Viwanda na Biashara inapaswa kuongozwa na mtu mbunifu kama January Makamba hivi, TRA iongozwe na mtu kutoka ndani

    Wewe January Makamba stress zitakuuwa, fanya kazi uliyopewa, na siyo kuona unastahili sana kuliko watu wengine, kwa mfano ulisha wahi kubuni nini ulikopita kote ukiondoa kufacilitate bao la mkono ulilofaulu kwa asilimia zote
  12. M

    Tatizo TRA, tatizo wizara ya viwanda au tatizo mamlaka ya uteuzi?

    Naona leo watumishi wa TRA mnahangaika sana jf kutaka kuhalalisha uozo wenu, tatizo siyo mfumo wala nini bali tatizo ni nyie watumishi wa TRA kutumia sheria zilizopo vibaya ili kupata vipato visivyo halali, na asilimia 99.9 mkiambiwa muelezee mali mlizo jilimbikizia mmezipata wapi hamuwezi,
  13. M

    TRA si wanakusanya kodi kwa mujibu wa sheria na nyingine kwa matamko kama vitambulisho vya Magufuli, kosa lao nini?

    Kinacholalamikiwa siyo sheria, tatizo ni hao watendaji wa tra kutafsiri kivyao hizo sheria kwa njia ya kujipatia pesa wao binafsi isivyo halali
  14. M

    Rais, rushwa Mahakama ya Ardhi, TRA, Polisi na Idara ya Ardhi ni sugu!

    You said it all mkuu, huko tra kitengo cha leseni ni balaa , huko ni pesa yako tu unapewa daraja unalotaka hata kama hujui kuendesha gari
  15. M

    Tuwalaumu TRA ila tusisahau kua hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi Duniani

    Acha janja janja wewe, siku ile ya mkutano wa Jiwe , wafanya biashara wamekuwa so clear kwamba TRA kwenye biashara wanazokadiria mlipa kodi alipe nini , wamekuwa wakiweka makadirio ya juu sana kiasi kwamba mfanya biashara kutishika na kuanza kubembeleza kupelekea kutoa rushwa kwa nyie...
Back
Top Bottom