MAREKANI NA UINGEREZA WANAPOMLILIA KUWADI WAO KABENDERA,WAKISHINDWA KUTOA POLE YA MSIBA WA WATU 60 MOROGORO.
Leo 12:15pm,11/08/2019.
Leo Taifa litawapumzisha ndugu zetu 60 katika makaburi ya Kola Hill,Morogoro. Lakini makuwadi wa Mabeberu wameshindwa kuwaambia Marekani na Uingereza kutoa pole ya msiba huo,ila waliwaambia tu waandike walaka na kutoa pole kwa mwandishi mmoja Kabendera wakati wao Marekani hadi leo bado wanaendelea kumtafuta Mwandishi Snowden aliyekimbilia Urusi baada ya kupokonywa haki yake ya kuwa raia wa Marekani, kwa madai ya kuandika makala za kuichafua Marekani nje ya nchi.
Edward Snowden alikuwa raia wa Marekani ambaye aliondokewa uraia,kunyang'anywa passport amelazimika kukimbilia Urusi kwa kuwa tu aliandika habari zilizoichukiza Taifa la Marekani.Toka Mwaka 2013 Bwana Snowden anaishi ndani ya chumba bila kutoka nje,Uhuru wake umepokwa na Taifa la Marekani,Taifa ambalo leo linataka Kabendera aachiwe lakini aliyetenda kosa sawasawa na Snowden ambao wao walimvua uraia,wakampokonya passport lakini Snowden alifanikiwa kukimbilia kujificha nchini Urusi.
Taifa linaomboleza msiba mkubwa lakini Mabeberu na Makuwadi wao wanaendelea kujifanya kama hawaoni msiba ila wanamuona kuwadi wao tu aliyeshikiliwa akisubiri kesi yake.
Niseme tu kuwadi mwandamizi mmoja wa Mabeberu hawezi kuwa na faida kwa Taifa zaidi ya Watanzania waliofariki na kujeruhiwa.Kwa hiyo Mabeberu na Makuwadi wao wameona Watanzania 60 wala fariki hawana maana kwao zaidi ya kuwadi wao mmoja,
Mabeberu na Makuwadi wao wameamua kula kimya maana hawana maslahi kwa Watanzania 60 waliokufa,Niseme tu awa Watanzania 60 waliokufa walikuwa ni nguvu kazi kwetu na pia ni msaada mkubwa kwa Watanzania,nani anayejua kuwa kati ya waliokufa labda ndiye angekuja kukusaidia kesho kuokoka na hatari fulani au kukuokoa katika changamoto tunazokumbana nazo katika maisha.
Makuwadi wa Mabeberu mlioshirikiana na vibaraka wenzenu kwenye balozi za Uingereza na Marekani kuandika tamko la aibu la haki za binadamu lililoitwa la pamoja huku kwao yakitokea mauaji mchana kweupe wakishindwa kutoa tamko hilo kwao na pia walichokiita kutetea Uhuru wa habari ikiwa wao walimpa Mwandishi Assange kesi hewa ya ubakaji baada ya kutoa siri ya Marekani kudukua mawasiliano ya Kiongozi wa Ujerumani,Kansera Angela,hadi leo Assange anaishi ndani ya Ubalozi wa Ecuador nchini Uingereza akipewa tahadhari akitoka tu anakamatwa na Uingereza na kupelekwa Marekani, na fununu tayari Uingereza wameshamkabidhi kwa Serikali ya Marekani,sasa tujiulize awa Marekani na Uingereza wanapataje uhalali wa kutuandikia Walaka mkubwa na kuusambaza duniani eti tumwachie Mwandishi Kabendera aliyeandika habari za kuichafua Tanzania!
Tujiulize je awa Mabeberu bado hawajatafsiriwa na vibaraka wao kuwa kuna Msiba mkubwa umetokea kwa Taifa!? Je Marekani na Uingereza bado hawajatafsiriwa kuwa Watanzania zaidi ya 60 wamefariki Morogoro katika ajali mbaya ya moto na makumi wamejeruhiwa!?
Ina maana kina Zitto,Maria na Fatma bado hamjawatafsiria Mabeberu kuwa kuna ajali imetokea Morogoro!? Au mmepima na kuona hamna maslahi katika hilo mkala kimya lakini mlikesha mkakurupuka na katamko kenu uchwara na kukapeleka ubalozi wa Marekani na Uingereza kuweka logo,Shame on you!
Nitaishia hapa,nitaendelea baadae,Niwaambieni tu ninyi Makuwadi na Mabeberu kuwa Watanzania tumeamka,Sisi sio wale wa kufundishwa tena na kupotoshwa hiki ni kizuri na kile ni kibaya,Tuna macho tunaona,tuna masikio tunasikia.
Taifa linaomboleza,Taifa limefiwa lakini Mabeberu na Makuwadi wao wamejitia pamba masikioni na boriti machoni.Huu si uungwana na muone aibu japo kidogo kwa kukimbilia Marekani na Uingereza kuichafua nchi kwa maslahi yenu binafsi lakini kushindwa kuwaambia suala la kitaifa kama msiba wa Taifa.
Nimalizie kwa kutoa Salamu za pole kwa Taifa langu la Tanzania,Msiba huu mkubwa wa ajali ya Moto iliyotokea Msamvu,Morogoro ni wetu sote,Mungu awape pumziko la amani marehemu wote,awaponye Majeruhi wote,na awape moyo wa Ustahimilivu familia zote zilizopoteza ndugu na jamaa waliokuwa wakileta mkate wa kila siku katika familia zao.
Nikiishia hapa,Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga.
Morogoro.
Atakwambia gari lilitengenezwa na mabeberu.Ujinga mtupu umeandika hapo. Gari limepinduka limewaka moto, inawahusu nini wao?

Kwahiyo unawapangia?
Huoni aibu? Yaani vyandarua ndio viuze utu wako? Rais anaposema Tanzania ifikie wakati ijitegemee kiuchumi huelewi maana yake? Shame on you!Bado vyandarua ARV's na baadhi ya chanjo mnapewa bure. ...
Halafu bila hata haya unakuja kuwa kashifu mabeberu ....yaani una shindwa kuheshimu mchango wanaokupa kwaajili ya buku 7 Tu unayolipwa huko lumumba
Kinacho fanya mpaka sasa tanzania ishindwe kujitegemea kiuchumi ni nini? ? Wakati nchi inakila aina ya rasilimali? ?Huoni aibu? Yaani vyandarua ndio viuze utu wako? Rais anaposema Tanzania ifikie wakati ijitegemee kiuchumi huelewi maana yake? Shame on you!
Safari Ni hatua. Awamu ya tano inatupa mwanga wakuelekea hukoKinacho fanya mpaka sasa tanzania ishindwe kujitegemea kiuchumi ni nini? ? Wakati nchi inakila aina ya rasilimali? ?
Sasa Paymaster wao ni Polepole ambaye hana uwezo wa kuligundua hilo unadhani hawa vuvuzela wataelewa?Bado vyandarua ARV's na baadhi ya chanjo mnapewa bure. ...
Halafu bila hata haya unakuja kuwa kashifu mabeberu ....yaani una shindwa kuheshimu mchango wanaokupa kwaajili ya buku 7 Tu unayolipwa huko lumumba
Mkuu una hoja....tena hoja yenye nguvu. Nina mfano ambao kiasi ni nje ya mada. Mfano halisi ni huu.UK na USA kumpigania Kabendera ni hawampiganii Kabendera, wanaipigania Economist isikimbiwe na ripota wengine.
Wanajipigania wao wazidi kuaminika kwamba watatoa ulinzi, ikibidi amani ya nchi itikiswe, kwa watu watakaofanya nao kazi.
Usiangalie vitu juu juu chief.
MAREKANI NA UINGEREZA WANAPOMLILIA KUWADI WAO KABENDERA,WAKISHINDWA KUTOA POLE YA MSIBA WA WATU 60 MOROGORO.
Leo 12:15pm,11/08/2019.
Leo Taifa litawapumzisha ndugu zetu 60 katika makaburi ya Kola Hill,Morogoro. Lakini makuwadi wa Mabeberu wameshindwa kuwaambia Marekani na Uingereza kutoa pole ya msiba huo,ila waliwaambia tu waandike walaka na kutoa pole kwa mwandishi mmoja Kabendera wakati wao Marekani hadi leo bado wanaendelea kumtafuta Mwandishi Snowden aliyekimbilia Urusi baada ya kupokonywa haki yake ya kuwa raia wa Marekani, kwa madai ya kuandika makala za kuichafua Marekani nje ya nchi.
Edward Snowden alikuwa raia wa Marekani ambaye aliondokewa uraia,kunyang'anywa passport amelazimika kukimbilia Urusi kwa kuwa tu aliandika habari zilizoichukiza Taifa la Marekani.Toka Mwaka 2013 Bwana Snowden anaishi ndani ya chumba bila kutoka nje,Uhuru wake umepokwa na Taifa la Marekani,Taifa ambalo leo linataka Kabendera aachiwe lakini aliyetenda kosa sawasawa na Snowden ambao wao walimvua uraia,wakampokonya passport lakini Snowden alifanikiwa kukimbilia kujificha nchini Urusi.
Taifa linaomboleza msiba mkubwa lakini Mabeberu na Makuwadi wao wanaendelea kujifanya kama hawaoni msiba ila wanamuona kuwadi wao tu aliyeshikiliwa akisubiri kesi yake.
Niseme tu kuwadi mwandamizi mmoja wa Mabeberu hawezi kuwa na faida kwa Taifa zaidi ya Watanzania waliofariki na kujeruhiwa.Kwa hiyo Mabeberu na Makuwadi wao wameona Watanzania 60 wala fariki hawana maana kwao zaidi ya kuwadi wao mmoja,
Mabeberu na Makuwadi wao wameamua kula kimya maana hawana maslahi kwa Watanzania 60 waliokufa,Niseme tu awa Watanzania 60 waliokufa walikuwa ni nguvu kazi kwetu na pia ni msaada mkubwa kwa Watanzania,nani anayejua kuwa kati ya waliokufa labda ndiye angekuja kukusaidia kesho kuokoka na hatari fulani au kukuokoa katika changamoto tunazokumbana nazo katika maisha.
Makuwadi wa Mabeberu mlioshirikiana na vibaraka wenzenu kwenye balozi za Uingereza na Marekani kuandika tamko la aibu la haki za binadamu lililoitwa la pamoja huku kwao yakitokea mauaji mchana kweupe wakishindwa kutoa tamko hilo kwao na pia walichokiita kutetea Uhuru wa habari ikiwa wao walimpa Mwandishi Assange kesi hewa ya ubakaji baada ya kutoa siri ya Marekani kudukua mawasiliano ya Kiongozi wa Ujerumani,Kansera Angela,hadi leo Assange anaishi ndani ya Ubalozi wa Ecuador nchini Uingereza akipewa tahadhari akitoka tu anakamatwa na Uingereza na kupelekwa Marekani, na fununu tayari Uingereza wameshamkabidhi kwa Serikali ya Marekani,sasa tujiulize awa Marekani na Uingereza wanapataje uhalali wa kutuandikia Walaka mkubwa na kuusambaza duniani eti tumwachie Mwandishi Kabendera aliyeandika habari za kuichafua Tanzania!
Tujiulize je awa Mabeberu bado hawajatafsiriwa na vibaraka wao kuwa kuna Msiba mkubwa umetokea kwa Taifa!? Je Marekani na Uingereza bado hawajatafsiriwa kuwa Watanzania zaidi ya 60 wamefariki Morogoro katika ajali mbaya ya moto na makumi wamejeruhiwa!?
Ina maana kina Zitto,Maria na Fatma bado hamjawatafsiria Mabeberu kuwa kuna ajali imetokea Morogoro!? Au mmepima na kuona hamna maslahi katika hilo mkala kimya lakini mlikesha mkakurupuka na katamko kenu uchwara na kukapeleka ubalozi wa Marekani na Uingereza kuweka logo,Shame on you!
Nitaishia hapa,nitaendelea baadae,Niwaambieni tu ninyi Makuwadi na Mabeberu kuwa Watanzania tumeamka,Sisi sio wale wa kufundishwa tena na kupotoshwa hiki ni kizuri na kile ni kibaya,Tuna macho tunaona,tuna masikio tunasikia.
Taifa linaomboleza,Taifa limefiwa lakini Mabeberu na Makuwadi wao wamejitia pamba masikioni na boriti machoni.Huu si uungwana na muone aibu japo kidogo kwa kukimbilia Marekani na Uingereza kuichafua nchi kwa maslahi yenu binafsi lakini kushindwa kuwaambia suala la kitaifa kama msiba wa Taifa.
Nimalizie kwa kutoa Salamu za pole kwa Taifa langu la Tanzania,Msiba huu mkubwa wa ajali ya Moto iliyotokea Msamvu,Morogoro ni wetu sote,Mungu awape pumziko la amani marehemu wote,awaponye Majeruhi wote,na awape moyo wa Ustahimilivu familia zote zilizopoteza ndugu na jamaa waliokuwa wakileta mkate wa kila siku katika familia zao.
Nikiishia hapa,Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga.
Morogoro.
Mkuu una hoja....tena hoja yenye nguvu. Nina mfano ambao kiasi ni nje ya mada. Mfano halisi ni huu.
====
Kuna mahali hawa West nilikuwa nashirikiana nao kuandaa andiko, mimi nikiwa mwandaadji mkuu. Nilikamilisha draft ya kwanza ya andiko hilo huku nikiwa nimeatua maneno ya Tanzania is the economic growing country. Aisee wao hao waandaji wenzangu kutoka West wakawa wanataka niandike kuwa Tanzania ni least developed country ama third world country...binafsi haya majina ya least na third nikawa naona ya ukakasi mbaya sana...nikawaambia mbona maandiko mengi yametumia phrase niliyotumia...nikwapa na mifano. Aisee wakagoma kabisa. Aisee, ni kweli andiko lile walifadhili wao, kwa kuwa mimi ndiye nilikuwa muandaaji mkuu wa andiko lile niligoma kukubaliana nao. Nikatumia njia ya kistaarabu nikawambia nimeshindwa kuendelea na andiko lile watafute mwingine aendeleze.
====
Nikirudi kwenye mada, kwa maelezo uliyotoa na haya ya kwangu hapo juu, kunauwezekano Kabendera alikumbana na hali kama ya kwangu, sasa kwakuwa alikuwa anataka kuwaridhisha hao wahariri...akawa nafuata kila kitu walichokuwa wanamuelekeza.
Kuna njia rahisi ya kutambua nati zi melegea ama la ...na kazi ya utambuzi si ya kwangu ni kazi ya WanaJF wanaofuatilia maadishi yako.Kuna uhusiano wowote na uminywaji demokrasia?
Mgonjwa wa akili wewe