Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,698
- 4,693
Ukitaka sikia idara sugu ni hizo: mahakama ya ardhi na hasa Kinondoni. TRA kote nchini, Polisi kote nchini na idara ya ardhi. Haya ni makundi ambayo wamelemaa na ktk ofisi zao, hawana mfano wa mtu ambaye hajapitia rushwa. Ktk idara hizi hakuna walokole, hakuna watu wa dini. Serikali inatakiwa iweke nguvu kubwa pamoja na kutumia watu wa usalama kupambana na idara hizo kuu.
Rais usiishie kulalamika. Watu hawa wanastahili vifungo, bahati mbaya unaitegemea mahakama iliyo hovyo pia! Yabidi maamuzi yatumike kuwatia adabu watu hawa. Ukitaka sikia watu wasio na aibu fika mahakama ya ardhi Kinondoni. Angalia polisi wanachokifanya barabarani, TRA umeisikia mwenyewe na umeambiwa wanachokifanya. Idara ya ardhi, unawezasema ni ulevi wa rushwa. Kweli bado tunahitaji mahubili ya kuachana na rushwa? NO! Watu wafungwe! Wananchi wakitumika vizuri kwa kinga yako, watayasema yooote!