Recent content by mngoni wedu

  1. M

    Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

    Jibu zuri sana kwani hata mandishi yanasema mjibu mtu upumbavu kutokana na upumbavu wake.wanataka kila wazo wanalolifikilia au kuhisi wao liwe light Kwa manufaa na mtaji WA chama chao chenye uwingi WA kabira furani na kimefanikiwa kuwakamata makasisi WA dhrhebu frank lenye kasisi machachali na...
  2. M

    Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

    Nyoo mkwende kule.mlipo toka suruu na singida tulimsikia huyo msajigwa alivyokua akiongea Kwa nyodo na maringo eti hoo bado kuna mechi nyingi mbele badara ya kukazana kukijenga nyodo kibaooo.mkomage kujita wa kimataifa WA kimataifa mtakua nyie.mlizoea kutafuniwa na manji nyie mnajimezea...
  3. M

    Haji Manara: Simba ndio club ya thamani East Africa

    Yanga na simba ni vitu 2 tofauti simba INA viongozi na wanachama kidogo wamepiga book tofauti na yanga.hata Mo akiondoka mgogoro wa simba hunatatulika sio hao yanga [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  4. M

    Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

    Si sababu ya msingi Kwa yanga Bali miaka mitatu nyuma yanga ilizoezhwa vibaya na manji.ki ukweli manji alikua akiwatafunia sana yanga Kwa kutumia mifweza yake Kwa kushilikiana na Jamal malinzi.he mmeshasahau marefa waliosimamishwa Kwa lushwa.manji alikua yupo tayali kutoa kiasi chochote cha...
  5. M

    Haji Manara: Simba ndio club ya thamani East Africa

    Hebu futa mawazo hayo.simba wanaelewa na wanajitambua.kwanza Kwa % kubwa simba INA mashabiki na wanachama wengi kwenye darasa kichwani tofauti na yanga.hata Mo akisepa haitafikia kiwango cha yanga Kwa sasa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
  6. M

    Howo Vs Scania

    Umenena mkuu kweli kbsa
  7. M

    Howo Vs Scania

    Kaka mzungu ni mzungu achana na hao wachina OK hila mchina ametoa hayo magari kadiri ya maisha yetu wa tz.hila sicania mkataba.
  8. M

    Wanaume kuwa na aibu za kitoto

    Duh Kwa hio wachaga sio?
  9. M

    Udongo mfinyanzi kutoka Rwanda

    Hivi rwanda kwa mtu makini kufikili utasema beutifuful country haisee hebu acheni ujinga,mijitu inauwana eti kisa huyu mtuts huyu muhutu,haya majamaa ni mapumbavu sijapata kuona,km rwanda beutifuly country tanzania uisemeje,hakuna watu wenye roho mbaya km watuts hebu angalieni jinsi wanavyowauwa...
  10. M

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Mkuu pivu la nini mm niwaonee wivu wasomi kivipi,je elimu yng unaijua,si kumanisha wasomi ni wajinga namanisha wengi wao ni wavivu wa kujituma na kutafuta,nani anaebisha % kubwa ya wenye elimu uishia kuajiliwa kwa kazi zenye masirai madogo na wakitokea wajanja km hao akina forex wao ni wengi...
  11. M

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Kwa mtu mwenye kujituma na ni mbunifu ktk kutafuta mitaji au kijiongezea kipato hawezi kukimbilia huo ujinga wa furusa sijui,hivi wa bongo hebu tujiuliza rifaro imeishia wapi DEC nayo vipi,haya mambo ya fursa za kutangaziana na kuimizana ni kwa watu wavivu ns wajinga mtu na hakili yako hayo...
  12. M

    Rais wangu mrudishie Uwaziri Nape, amegundua kosa lake na anajuta!!

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh mbona hiii kali mwanangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  13. M

    Maajabu ya 'tajiri' Dr Shika, kumbe anaishi chumba cha elfu 50 Tabata Mawenzi na anadaiwa kodi ya pango

    Nadhani ipo aja ya kumpima akili kwanza itakua ni dhambi sana kumtuhumu mapema pengine dk shika ni mgonjwa wa afya ya akili
Back
Top Bottom