Recent content by Mng'ongo

  1. Mng'ongo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kioo cha Samsung A5 ya 2016

    Habari km una kioo cha hiyo simu tajwa tuwasiliane kiwe na rangi nyeusi kikiwa used itapendeza zaidi
  2. Mng'ongo

    JamiiForums Tanzania Baada ya madereva wenye vyeti fake kutimuliwa Ajali za STK, STJ, SU na DFP zimeshamiri

    Uzoefu kwenye Roho za watu kuwa serious basi!
  3. Mng'ongo

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kufungia ina hitajika

    Habari wakuu nahitaji Machine ya kufungia vifuko vya nailoni iwe ya kawaida tuu Hata ikipatikana ilio tumika sio mbaya kikubwa ipige kazi 0783935231 tuma msg kwenye namba hii km uko nayo
  4. Mng'ongo

    JamiiForums Tanzania Gari ipi inafaa kwa Uber?

    Nasikia Uber hawa wataki wateja wenye mizigo ni kweli?
  5. Mng'ongo

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga

    Mombasa vipi? karibu na kituo cha kwa Mahita njia ya kwenda moshi bar chumba kikubwa pia ni self kipo karibu na barabara
  6. Mng'ongo

    JamiiForums Tanzania Biashara

    Nataka hizo trei km za salun
  7. Mng'ongo

    JamiiForums Tanzania Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

    Ha ha ha jamaa katuuzia chai [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  8. Mng'ongo

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    Daah ume nikumbusha mbali san hizo myimbo mkuu nipo primary hiyo Majani ni mtu sana tuki enjey sana Bongo fleva kizaz chetu
  9. Mng'ongo

    JamiiForums Tanzania Historia ya Komandoo Tarimo

    Ana zingua huyu huu utoto sasa alio leta.
  10. Mng'ongo

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya Printing

    Sawa kiongozi
  11. Mng'ongo

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya Printing

    Nipe bei OG hiyo offer ya mpito tuu nataka tufanye biashara endelevu mkuu! Ni Mp namba yako
  12. Mng'ongo

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya Printing

    Ku print sticker ktk karatasi ya A4 vitoke visticker 15 ni Tsh ngapi ktk @A4
  13. Mng'ongo

    JamiiForums Tanzania Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

    Awe mkweli tuu kuwa alihonga kwa mchuchu maana km in two weeks alafu tume exchange na msela lazima nikurudishie bomu lako
Back
Top Bottom