Nimekumbuka kipindi kile wanasema Mengi anataka urais,nilicheka sana maana Mengi ye mwenyewe kujieleza tu ilikua changamoto sijui kwny hadhara angeongea nini.
Labda angepata upepo Kama wa Lowassa
'Hata JK hakuwa dhaifu hivi. Tulimpigia kelele kweli JK kuhusu safari zake but the man believed he was doing the right thing kwa masafari yake yasiyoisha. Na huyu mzee alisafiri hadi sekunde ya mwisho. Kiongozi wa aina yoyote ile anayestahili kuwa kiongozi lazima aamini katika maamuzi yake na...
CCM sio wa mchezo mchezo wameshamharibia Mwigulu ndoto zake za kugombea urais maana atakua akitajwa tu popote pale wananchi wanamkumbuka kwny tozo.
Inshort kabebeshwa furushi la 'mavi'.
Corporate vs Public Sector ni vitu viwili tofauti.
Bureaucracy huku kwny public sector ni hatari,Kule amezoea Board of directors wakishapitisha tu Jambo lao utekelezaji unafuata tu fasta Sasa akija huku serikalini hio mlolongo wa tangu wazo limeibuliwa, approval mpk implementation atakubali...
Hahah Maisha ya ku pretend mitandaoni hayo mkuu.
Maisha yako binafsi ya Bata unahitaji kuyaonyesha mitandaoni ili mtu upate approval kutoka kwa Nani?Msongo wa mawazo is real mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.