Naomba kufahsmishwa jinsi ya kutofautisha IST ya cc1200 vs IST ya cc1400

ist old model wote tunazifahamu, hapa napenda wataalamu watupe elimu kidogo ni jinsi gani mtu anaweza tofautisha kati ya ist yenye cc1200 na ist ya cc1400 nje ya kigezo cha kupima uwezo(engine peformance) wakati wa kuendesha, nataka fahamu namna ya kutofautisha zikiwa zime-park maana zote zina piston 4 .
Ist yenye cc1290 ina injini ya 2nz vile vile yenye 1490 ina injini ya 1nz na huwa inaandikwa kwenye main fold ya hewa yenye rangi nyeusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ist old model wote tunazifahamu, hapa napenda wataalamu watupe elimu kidogo ni jinsi gani mtu anaweza tofautisha kati ya ist yenye cc1200 na ist ya cc1400 nje ya kigezo cha kupima uwezo(engine peformance) wakati wa kuendesha, nataka fahamu namna ya kutofautisha zikiwa zime-park maana zote zina piston 4 .
Huwa tunaangalia code number, zipo ist za aina tatu tofauti katika toleo la kwanza based on code number.
NCP60
NCP61
NCP65
ncp60- hii ina engine ya 2nz, 1290cc na ni front wheel drive
Ncp61- hii engine 1nz,1490cc na ni front wheel drive
Ncp65-hii engine 1nz,1490cc na ni four wheel drive
KARIBU
 
Ncp65-hii engine 1nz,1290cc na ni four wheel drive
KARIBU
Marekekebisho kidogo.

Hakuna injini ya 1nz fe yenye cc 1290. Pia anataka kujua ist zenye injin mbili tofauti zikiwa zimepaki pamoja unawezaje kuzitofautisha? Ninavyojua mm NCP60 N.K ni kwa zile ambazo bado hazijasajiliwa vinginevyo mpaka kwenye kadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zikiwa zimepaki utajua kupitia ile bomba y kutolea moshi.
BOMBA L MOSHI KULIA cc 1290.
BOMBA L MOSHI KUSHOTO cc 1490.
Zikiwa parking kiongozi bila kufunua boneti yake.
Asante
Bomba la moshi kusho halijakaa kwa kigezo cha injini bali ni kuwa inavuta tairi zote nne (AWD). Zipo zenge cc 1490 na bomba la moshi lipo upande ule ule wa kuli ambazo sio 4wd au awd.

Ist, vitz, raum, allex, runx n.k. zenye 4wd au awd bomba la moshi hukaa kushoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa tunaangalia code number, zipo ist za aina tatu tofauti katika toleo la kwanza based on code number.
NCP60
NCP61
NCP65
ncp60- hii ina engine ya 2nz, 1290cc na ni front wheel drive
Ncp61- hii engine 1nz,1490cc na ni front wheel drive
Ncp65-hii engine 1nz,1290cc na ni four wheel drive
KARIBU
Hawa wajapan ni wajinga sana,yaani badala ya kuweka 4wheel kwenye yenye 1500cc wanaweka yenye 1300cc?!
 
Hizi ist za 2006 old model engine yake inanguvu sana hata kuchanganya zinajitahidi sana ukilinganisha na <2006
 
Huwa tunaangalia code number, zipo ist za aina tatu tofauti katika toleo la kwanza based on code number.
NCP60
NCP61
NCP65
ncp60- hii ina engine ya 2nz, 1290cc na ni front wheel drive
Ncp61- hii engine 1nz,1490cc na ni front wheel drive
Ncp65-hii engine 1nz,1490cc na ni four wheel drive
KARIBU
Mkuu, Suala la Ufahamu, Kwenye Utelezi walau Kidogo ni Ipi yenye Kusukuma gurudumu za Nyuma ama za Mbele, yaani Mbali na Four Wheel drive nazungumzia Two Wheel Drive, ipi bora Front or Back?
Ahsante.
 
Zikiwa zimepaki utajua kupitia ile bomba y kutolea moshi.
BOMBA L MOSHI KULIA cc 1290.
BOMBA L MOSHI KUSHOTO cc 1490.
Zikiwa parking kiongozi bila kufunua boneti yake.
Asante
Sidhani Mkuu.
Hapo nadhani ni Upande wa Four wheel na Two Wheel drive.
Bomba la Moshi Kulia ni Two Wheel na Kusohoto ndiyo Four Wheel Drive.
 
Back
Top Bottom