Recent content by mnendi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status job Bachelor degree in public administration and management 8 years being jobless Mwenye huruma yeyote anisaidie unisaidie familia Contact 0712908913
  2. M

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Au unalipa kias gan kujiunga maana matatzo ya watu yamegueka fursa sa HV kuna makundi mara hyu nikuunge whattsap kundi la ajira tuma elfu 5, mara 7 mara cjui ajira vip. Toa 50k yaan washajua vjna. Hawana kazii na umu umu ndo pakuwapigia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Temporary Employment Opportunities at Tanzania Airports Authority (TAA)

    Hzo ni za utumishi sio TAA wenyew zile temporary
  4. M

    JamiiForums Tanzania Temporary Employment Opportunities at Tanzania Airports Authority (TAA)

    Mchakato huu sa hv unaenda miez mingap jamanii
  5. M

    JamiiForums Tanzania TAZAMA wanalipaje kwa nafasi za ulinzi?

    Maombi c mwisho leo na unatuma kwa njia ya posta
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara: Askari Magereza anaeanza kazi na Cheti cha Kidato cha Nne

    Vitu usivyo vijua usije mbele ya watu kubisha ni vyema ukawa msomajii tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Temporary Employment Opportunities at Tanzania Airports Authority (TAA)

    Dah bora ulivyomsaidia aisee maana kuna watu ata uwa awajui wanaandika nin wao ni kuponda tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Temporary Employment Opportunities at Tanzania Airports Authority (TAA)

    Ni ajira baada ya kuisha mkataba kijana aombe apate tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Temporary Employment Opportunities at Tanzania Airports Authority (TAA)

    Ngoja wake wataalam wa hzo mambo maana atuelew mara mfumo umejaa wengine wanaulizia maslahi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye uzoefu na saili za shirika la AMREF

    Sis wengine hatukubahatika hongera take aisee
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Uzi unakatika huu wazee
  12. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Anaeza ku score mzee wangu bahati ikiwa yake utamkuta kapata wilaya yake tayarii Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sio poua mzee ila na si zamu yetu utafika ya kulamba asali Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Umu kuna kila kuna kupeana moyo kuvunjana taarifa za pdf ni chapu Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nimekuelewa mZee maana ajira kila siku zinatoka taasisi mbalimbalii shida ni namna ya kupenya ila apo nyuma unaeza kua na mtu na usiajiliwe maana ajira zilikua azitokii Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom