bwaiseekwetu
Senior Member
- May 29, 2022
- 174
- 472
Yuko vizuri kwenye disermination?Heri ya Jumapili,
Kitinda mimba wangu aliomba kazi zilizotangazwa na Shirika la AMREF mwanzoni mwa wiki hii. Na siku mbili baada ya kutuma maombi, amepigiwa simu ahudhurie Usaili online siku ya Jumatatu(kesho).
Kwamba atatumiwa maswali kwenye Email yake ayafanye kwa muda wa saa moja kisha awarudishie majibu. Nafasi ni Communication Officer.
Ikanipendeza kuwauliza Great Thinkers humu JF ili mwenye idea na Interview za hili Shirika anisaidie ili Binti yetu apate Ajira akaanze kujitegemea.
Natanguliza Shukrani wana wa Mungu
Zile zilikua ni internal posts, na waliotakiwa kuomba na kuwa considered ni amref Tanzania staff, huyo mdg wako kama wamemcheki inamana alikua mtu wao tayari na sidhani kama atakosa Cha kujibu au atakua hajui ajibu niniHeri ya Jumapili,
Kitinda mimba wangu aliomba kazi zilizotangazwa na Shirika la AMREF mwanzoni mwa wiki hii. Na siku mbili baada ya kutuma maombi, amepigiwa simu ahudhurie Usaili online siku ya Jumatatu(kesho).
Kwamba atatumiwa maswali kwenye Email yake ayafanye kwa muda wa saa moja kisha awarudishie majibu. Nafasi ni Communication Officer.
Ikanipendeza kuwauliza Great Thinkers humu JF ili mwenye idea na Interview za hili Shirika anisaidie ili Binti yetu apate Ajira akaanze kujitegemea.
Natanguliza Shukrani wana wa Mungu
Hajawahi kuajiriwa na AMREF,na kama zilikuwa Internal si wangetangaza hukohuko Internally[emoji1745]anyway ngoja tusubiri hiyo kesho muda alioambiwa atatumiwa Maswali kwenye Email yakeZile zilikua ni internal posts, na waliotakiwa kuomba na kuwa considered ni amref Tanzania staff, huyo mdg wako kama wamemcheki inamana alikua mtu wao tayari na sidhani kama atakosa Cha kujibu au atakua hajui ajibu nini
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Hajawahi kuajiriwa na AMREF,na kama zilikuwa Internal si wangetangaza hukohuko Internally[emoji1745]anyway ngoja tusubiri hiyo kesho muda alioambiwa atatumiwa Maswali kwenye Email yake