Weka wazi mimba ni miezi mingapi
Fanya hivi
Muachishe mtoto kunyonya maziwa ya Mama
Muweke mbali na mama ake na asilale nae
Muanzishie lishe maalumu uji wa ulezi hakikisha unaweka mbegu za maboga maziwa ya ng,ombe wa kienyeji ya kimasai kabisa kama kuna shangazi au mama ake mdogo alale nae...
Kusonga bila kuwa na uhakika kama ikitokea tena tunaweza kupata nyeti kwa wakati pia inapendeza kumbuka hapo juu mwamba kasema kupata nyeti sasa hivi sio favour ni haki
Broh pole kipindi kigumu sana kama una amani naomba tuliza nafsi na pia fanya kila kitu kutuliza nafsi yako pia zingatia malezi ya watoto wakue vzuri pole sana kaka
Kaka japo inauma ila naomba jali familia yako cha kwanza umekosea kuuza nyumba ulitakiwa ujenge iishe alafu unahama na wanao kmy kmya bila yeye kujua ila kuuza nyumba hujanifurahisha watoto wako ndiyo ndugu yako wa kwanza katika maisha
Kwa niaba ya wabahili wenzangu kutoka makao makuu na kwa mamlaka niliyopewa nakupa chao cha assistant Master nikiwa mimi senior master wa ubahili nitakuongoza zaidi ukue katika ubahili
I think if currently the turtle become poison meat the must first observe where they fail maybe the problem is preparation some parts of kasa are healthical danger to humans hence they should pay attention processing the turtle
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.