Recent content by mndelengwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyo nikuta kwenye daladala

    Pole kwa kupigwa!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini upange sheria nyumbani kwangu?

    Amua rafiki asije ifirisi ndoa yako bure...wanaume wenyewe siku hiz vigeu geu kama mnya ya kuku!!...unachelewa kuchukuwa maamuzi ukija kutahamaki mambo yashaenda kombo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini upange sheria nyumbani kwangu?

    Yan ww una moyo mkubw!...mpk umekuja kuomba ushauri hapa???...mimi ningemtandika viboko siku 1 yy na mshenzi mwenzie aliemleta ningewatimua kama wezi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Ndo unachowaza hicho?!!....bac hatuna habareeeee
  5. M

    JamiiForums Tanzania ...JD..sitaki kumbuka zamani

    Sio kosa lako...
  6. M

    JamiiForums Tanzania ...JD..sitaki kumbuka zamani

    Unapata dhambi sana...kwani ulivyoongea hivyo ndo umejiona mjanga??...hakupenda yy kuto kuzaa ongelea swala lililopo mbona wazitafuta dhambi kwa nguvu ww...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni leo: ashki majnuni

    Yani katukana kweli tena karudia rudi hiyo ashki majuni!....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa yule mfanyakazi aliyemsulubu dogo kule uganda

    Ww mwanamke mwanamme!???..ukoje ww??...ndo unajua sana kusamehe au?! angekuwa mtoto wako ungemuacha????
  9. M

    JamiiForums Tanzania PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    We naweeeeeee....
  10. M

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Kwani unavyofikilia sadaka yako ile unayotoa pale inaenda mbinguni!?...ww pale umetoa kwaajiri ya mungu na utalipwa kwa nia mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Ulikuwa unamuona mtakatifu sana mkuu?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    M/mungu atamlinda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Wala hatetemeki....ww tu una wasiwasi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje kurudisha laki saba zangu zilizopelekwa Forever Living

    Kuna mtu mimi alinishauri niingie bila kuongeza na akili zangu saiz nalalamika na mie....ila muulize mkeo kwa upole me najua tu kuna mtu wake wa karibu ndo aliemshawishi coz wanajua kushawishi hatari
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wingi wa Nywele

    Hahahaaaaaaaa.....una mambo ww
Back
Top Bottom