Kutambuliwa cyo lazma iwe kwenye katiba....., mahamakama za mwanzo, mahakama za wilaya na mahakama za hakimu mkazi hazipo kwenye katiba lakini znatambulika maana kuna sheria imezianzisha, hivyo km waislamu wanahitaji mahakama ya kadhi inaweza kutungwa sheria ya kuzianzsha km magistrates court...
mwandishi wa hyo makala naona anapotosha tu, hajui kabla ya ukoloni kulikuwa hakuna mipaka? watu walikuwa wanaishi popote na kwenda popote kwa hyo hoja ya kwamba cjui wachaga wametoka Kenya mara wamakonde wametoka msumbiji haina mashiko, kwa hyo anataka kutuambia Tanzania ilikuwa iko empty...
ni kweli binadamu wote ni sawa, ila lazima wafuate taratibu na sheria na taratibu zilizopo, we mwenyewe huwezi kwenda kwa mtu ukaingia tu, lazima upige hodi ukaribishwe uoneshwe wapi ukae, huo ndo utaratibu, angalizo agizo halijasema wanyarwanda haramu, limesema wahamiaji haramu.
jamani tuwe tunafikiria mbali kdogo tusiwe na akili fupi.........., jaribu kutofautisha jambo la kitaifa na usichanganye siasa katika jambo lenye mustakabali wa taifa, hata kama humkabali kikwete kisera na kiitikadi, angaalia ni mahali gani pa kuonesha hivyo, ugomvi wa Malawi na Tanzania kuhusu...
mtu anapomtukana rais wa Tanzania maana yake ametutukana watanzania, anaposema atampga kikwete anamaanisha ataipiga TZ, lazima tumjibu, hatuwezi kukaa kimya, hapo tunaungana kwa pamoja kuresponse maana hii nchi ni ya kwetu.
Nakuunga mkono kabisa yaani watu wametiwa upofu wa uchadema, uccm, ucuf n.k kila kitu kila jambo tunaleta upinzani wa kisiasa. tunanguliza sana siasa katika kila kitu hata kama facts ziko wazi kabisa.
naona wanzibari wanapata shida kweli, kama kiti bado kipo UN mbona swala rahisi tu endeleeni kukitumia kama zamani, si mna bendera, wimbo wa taifa nk, general assembly inayokuja raisi wenu aende.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.