Prime minister wa Zanzibar akihutbia UN Dec 1963

Bin Faza, chabuso,

..kulikuwa na hila walizokuwa wakifanyiwa ASP kila kulipofanyika uchaguzi Znz.

..chama cha ZNP[Hizbu] kilikuwa kinapigania maslahi ya mabwanyenye wa Zanzibar, wengi wao wakijinasabisha na Uarabu.

..ASP walikuwa wakipigania maslahi ya makabwela wa Zanzibar, wengi wao wakijinasabisha na Uafrika.

..kuna taarifa kwamba ZNP ilikuwa na urafiki na Gamal Abdel Nasser wa Egypt, wakati ASP walikuwa na urafiki na TANU ya Tanganyika.

..ASP ilishinda uchaguzi mara 3 mfululizo, lakini wenzao[ZNP & ZPPP]walikuwa wakicheza na sheria za uchaguzi na hivyo kuwanyima ASP nafasi ya kushiriki ktk kuunda serikali.

NB:

..Raisi Salmin Amour aliwahi kutamka kwamba Sultani Jamshid anaruhusiwa kurudi Znz kama raia wa kawaida.

cc: Mag3, gombesugu, GHIBUU, Bobwe
 
Last edited by a moderator:

Hadi leo makabwela wa kiafrica mafukara,kwa wale waliopewa tonge kwa msaada wa dodoma ndio wanao wakandamiza makabwela wa kiafrika hii maana yake nini?kama hoja mapinduzi yameleta uhuru kwa waz'br uhuru huo uko wapi?angalia kesho kutwa ujio wa obama rais wa z'br nafasi atakayo wekwa na watanganyika,hata mkono hatopata kumpa.
 
..usitie shaka Dr.Bilal atawawakilisha wa-Znz wakati wa ziara ya Obama.

..kwamba mapinduzi yameleta mafanikio au la ni hoja tofauti kabisa na chanzo cha mapinduzi hayo.
 
Mwanzisha uzi mmbishi kweli, kumbe Shamte alikua chini ya Sultani? Naomba kujua, huyu mara baada ya mapinduzi alikua upande gani? Kama ndio lengo lenu kurudisha usultani Zanzibar endeleeni ila chonde chonde, ugaidi hatuupendi huku, msije mkatutengenezea wakimbizi wengine tena, WaCongo, Rwanda na Burundi wanatosha.

Acha ushabiki wewe nani aliekwambia kuwa zanzibar kashawahi kushtakiwa mtu kwa ugaidi???chuki hizo za kidini mkiamini wenzetu waislam magaidi au waarabu magaidi wakati magaidi tunao huku bara na bado wana kesi mahakamani za ugaidi akina LWAKATARE na mwenzake,ugaidi tayari upo bara msitake kuwasibgizia wazanzibar
 
Jokakuu

Bin Faza, chabuso,

..kulikuwa na hila walizokuwa wakifanyiwa ASP kila kulipofanyika uchaguzi Znz.

..chama cha ZNP[Hizbu] kilikuwa kinapigania maslahi ya mabwanyenye wa Zanzibar, wengi wao wakijinasabisha na Uarabu.

..ASP walikuwa wakipigania maslahi ya makabwela wa Zanzibar, wengi wao wakijinasabisha na Uafrika.

..kuna taarifa kwamba ZNP ilikuwa na urafiki na Gamal Abdel Nasser wa Egypt, wakati ASP walikuwa na urafiki na TANU ya Tanganyika.

..ASP ilishinda uchaguzi mara 3 mfululizo, lakini wenzao[ZNP & ZPPP]walikuwa wakicheza na sheria za uchaguzi na hivyo kuwanyima ASP nafasi ya kushiriki ktk kuunda serikali.

NB:

..Raisi Salmin Amour aliwahi kutamka kwamba Sultani Jamshid anaruhusiwa kurudi Znz kama raia wa kawaida.

cc: Mag3, gombesugu, GHIBUU, Bobwe

haya ni mawazo lalahoi, fikra dhaifu na finyu

mawazo haya ndio iliokuwa ndowana ilowabaka wazanzibari kooni hadi tukafika hapa tulipo

sasa mawazo haya yamepitiwa na wakati, wazanzibari tumekujuweni vyema watanganyika na nia zenu chafu

wazanziabr tumeanza kuungana na sasa tutaunga zadi na zaidi na zaidi

hatimae kil amtu atakwenda kivyake
 
In my opinion you Bin Faza have no sense of freedom or democracy but of being "owned" by a rich MAN. it is pathetic in or out of the union
 
Bin Faza, chabuso,

..kulikuwa na hila walizokuwa wakifanyiwa ASP kila kulipofanyika uchaguzi Znz.

..chama cha ZNP[Hizbu] kilikuwa kinapigania maslahi ya mabwanyenye wa Zanzibar, wengi wao wakijinasabisha na Uarabu.

..ASP walikuwa wakipigania maslahi ya makabwela wa Zanzibar, wengi wao wakijinasabisha na Uafrika.

..kuna taarifa kwamba ZNP ilikuwa na urafiki na Gamal Abdel Nasser wa Egypt, wakati ASP walikuwa na urafiki na TANU ya Tanganyika.

..ASP ilishinda uchaguzi mara 3 mfululizo, lakini wenzao[ZNP & ZPPP]walikuwa wakicheza na sheria za uchaguzi na hivyo kuwanyima ASP nafasi ya kushiriki ktk kuunda serikali.

NB:

..Raisi Salmin Amour aliwahi kutamka kwamba Sultani Jamshid anaruhusiwa kurudi Znz kama raia wa kawaida.

cc: Mag3, gombesugu, GHIBUU, Bobwe

it is all about politics,hiyo ni siasa tu, CCM inashinda chaguzi zake kila siku
 
naona wanzibari wanapata shida kweli, kama kiti bado kipo UN mbona swala rahisi tu endeleeni kukitumia kama zamani, si mna bendera, wimbo wa taifa nk, general assembly inayokuja raisi wenu aende.
 
Wana JF

Kwa wale wasioijuwa zanzibar vyema, mumebahatika sana kupata darsa hili leo

Hiyo hapo chini ni hutuba ya Prime Minister wa zanzibar Mhe Mohammed Shamte akihutumia Umoja wa Maitaifa 1963,

Kwa taarifa yenu tu, kiti cha UN cha zanzibar kikalipo, nyerere alisahau kukifuta au hakuweza kukifuta kwasababu muungano wake na karume haukuwa wa mkataba kwahivo bado kiti cha znz

Bendera ya znz yenye karafuu munaioan hapo

kipo

Huyu Shamte alikuwa PM wa serikali ya Sultan iliyopinduliwa Jan 1964. Au unataka muungano uvunjike kisha usultani urudi Zanzibar?
 
Last edited by a moderator:
Huyu Shamte alikuwa PM wa serikali ya Sultan iliyopinduliwa Jan 1964. Au unataka muungano uvunjike kisha usultani urudi Zanzibar?

wazanzibari wa ukweli tuko tayari arudi sultan kuliko kutawaliwa na watanganyika
 
kmbwembwe

sisi hatuoni taabu sana kuwafuata waraabu, kwanza tukichokoka na huu muungano kasheshe na nyinyi tunaingia Arab League, hapo ndio watanganyika nyote mutapata hat etek, maana tulipojiunga na OIC mulikaribia kupata wazimu, raisi wenu, magazeti yenu plus plus plus

waliofanya mapinduzi ni watanganyika, jeshi la tangayika liliivamia znz, ushahili kamili leo upo, mzanzibari asingeweza kuipindua serikali kwa wakati ule
Bin Faza shukran kwa mchango wako. Umetupa fulsa ya kukueleweni zaidi watu kama wewe... Nikuulize swali: Na wale waarabu 17000 wanaodaiwa kuuliwa siku ya mapinduzi waliuliwa na watanganyika? Je mkifanikiwa kuvunja muungano mtawafanyaje waafrika waliompindua sultani 1964 maana nyie mnaompenda sultani mnadai sio waafrika.
 
Jokakuu

haya ni mawazo lalahoi, fikra dhaifu na finyu

mawazo haya ndio iliokuwa ndowana ilowabaka wazanzibari kooni hadi tukafika hapa tulipo

sasa mawazo haya yamepitiwa na wakati, wazanzibari tumekujuweni vyema watanganyika na nia zenu chafu

wazanziabr tumeanza kuungana na sasa tutaunga zadi na zaidi na zaidi

hatimae kil amtu atakwenda kivyake
Bin Faza,

..kwanini usilete facts kupinga kile nilichoandika??

..naendelea kusema kwamba hila ktk uchaguzi ndiyo zilizopelekea mapinduzi ya mwaka 1964.

..ukitanga kulipinga hilo, lete ushahidi wa matokeo ya chaguzi hizo, halafu u-argue kwamba ASP walishindwa ktk chaguzi hizo.

..badala ya kumshutumu Nyerere, wa-Tanganyika, au muungano, ni bora mkaangalia ndani ya jamii yenu.

..sina taarifa ya kuwepo m-Znz aliyeuwawa huku Tanganyika kutokana na sababu za kisiasa. Nyerere hakushiriki kwenye ndoa za kulazimisha wasichana wa Kiarabu. Nyerere hakusitisha chaguzi Znz. Nyerere hakufuta mahakama za Znz. Nyerere hakuwatenga wa-Znz wenye asili ya Kiarabu ktk serikali ya muungano. Nyerere hakuwatenga Wapemba ktk serikali ya muungano.

..mara ngapi Nyerere amejaribu kumpigania Salim Salim[muarabu] awe Raisi wa muungano?? je, Nyerere hakuwatetea wakina Seif Sharriff Hamad mwaka 1985 wakati wakipigwa vita na kundi la wanamapinduzi?? je, mwaka 1995 Nyerere hakuwatoa pendekezo la kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa?

..chanzo cha mgogoro wa Nyerere na Karume ni ukatili na mauaji yaliyokuwa yakifanywa na serikali ya mapinduzi Znz. Nyerere alikuwa akipinga masuala hayo, na Karume alikuwa hataki kuingiliwa wakati akiwafanyia wananchi wake ukatili.

..kwa maoni yangu u have a wrong diagnosis kwa matatizo ya Znz. matokeo ya ukweli huo ni kwamba hamtapata tiba sahihi ya matatizo yanayoisibu jamii yenu.

cc: Barubaru, gombesugu, Wickama, Kibunango, Nguruvi3, bucho, Mag3, Jasusi
 
Kama kweli mapinduzi ya 64 ni kuwakomboa waz'br mbona bado zanzbr hawana maamuzi?huo uhuru ni wa jambo gn?
 
Last edited by a moderator:
Bobwe

Ninahakika wewe si kipofu na ninahakika unafamu kiingilishi yaani umesoma......sasa tuseme ndio humuoni huyo waziri mkuu wa znz yupo UN anahutubia baraza?

Balozi wetu alikuwa Dr salim Ahmed Salim huyu umjuwae wewe

lakini leo kiti chetu kimekaliwa na ccm na agenda zake za siri kwa kupitia tz

Mi naona ni suala la kujipanga; Kwani hili jengo halina alama za EXIT?
 
Acha ushabiki wewe nani aliekwambia kuwa zanzibar kashawahi kushtakiwa mtu kwa ugaidi???chuki hizo za kidini mkiamini wenzetu waislam magaidi au waarabu magaidi wakati magaidi tunao huku bara na bado wana kesi mahakamani za ugaidi akina LWAKATARE na mwenzake,ugaidi tayari upo bara msitake kuwasibgizia wazanzibar
Yule Mzanzibari aliyepelekwa Guantanamo Khalfani, hakuwa gaidi?
 
Wana JF

Kwa wale wasioijuwa zanzibar vyema, mumebahatika sana kupata darsa hili leo

Hiyo hapo chini ni hutuba ya Prime Minister wa zanzibar Mhe Mohammed Shamte akihutumia Umoja wa Maitaifa 1963,

Kwa taarifa yenu tu, kiti cha UN cha zanzibar kikalipo, nyerere alisahau kukifuta au hakuweza kukifuta kwasababu muungano wake na karume haukuwa wa mkataba kwahivo bado kiti cha znz

Bendera ya znz yenye karafuu munaioan hapo

kipo

Tumechoka kusikia haya mambo yenu. Ni uroho wa madaraka tu ndio unawasumbua. Anzeni kwanza kupunguza ufukara wa watu wa donge, makunduchi, kojani nk. Hata mkipewa kiti katika sayari ya mars, haitasaidia chochote as long as wananchi wanaendelea kuishi maisha duni, yenye ufukara uliotukuka. Acheni hizo. Shughulikieni matatizo ya wananchi kwanza. Mawazo yenu mnafikiria tu kwenda umoja wa mataifa kwa faida ya matumbo yenu wakati wananchi wanaendelea kuishi maisha ya tabu. Matibabu hakuna, maji ya mfereji machafu, malaria, cholera. Anzeni kushughulikia hizo kero.

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom