Recent content by MNAMHALA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pengo unamsamehe Gwajima kwa kosa gani?

    we ni mpuuuzi huna akili kama mchungaji wako gwajima, subiri uone wapi kakosea
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

    Nahisi hauko serious na ndoa yako, pia umezoea kuchepuka, ningekuwa Mimi cku hiyo hiyo Hugo house girl angeenda kwao. Hata hi yo kwa principles zangu house girl hawezi kuingia kwenye chum a changu na mke wangu(japo bado sina mke) Kwa heshima ya ndoa kama ni kweli yamekukuta hayo badilika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

    Inawezekana we ni mwongo umetunga tu story, au basi hauko serious na ndoa yako, huwezi kusema ati unataka ulipize kisasi, hata hivyo how comes mnamruhusu mdada wa kazi awe na mazoea kiasi hicho chumbani, chumba no kwa ajili ya wewe na mkeo, by the way muombe ushauri mkeo yeye atakuwa na udhauri...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

    Muombe ushauri mkeo, inavyoelekea ama utakuwa mwongo umetunga story tu, au basis hauko serious haiwezekani mdada Wa kazi awe na mazoea kiasi hicho chumbani kwako na mkeo!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete has only 10 months to go

    Mjepo sidhani kama una akili timamu, huenda ukawa nazo lakini kuzitumia huwezi, unaonekana ni mojawapo ya mamluki wakati mwingine tuwe wawazi na wakweli hivi huyo jk watanzania katuachia legacy IPI akiwa kama Raised Wa awamu ya nne? Hebu nitajie mambo saba tu ambayo watanzania tutamkumbuka
  6. M

  7. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete has only 10 months to go

    Naunga mkono hoja kwa asilimia 70%
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wetu na hatima ya Tanzania by Julius K. Nyerere

    KWA ANAYETAFUTA KITABU CHA UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA KILICHOANDIKWA NA BABA WA TAIFA JULIUS KAMBARAGE NYERERE TUWASILIANE KUPITIA NAMBA HIZI:- 0684 012 919, MIMI NIPO DAR ES SALAAM. kINAUZWA SHILINGI ELFU KUMI NA TANO TU KWA REJA REJA, KWA WAUZAJI WA JUMLA NI SHILINGI 8,000/=
Back
Top Bottom