Mwaipaja ima
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 404
- 76
Nashangaa kusikia eti askofu Pengo anatangaza msamaha kwa askofu Gwajima, kwa kosa gani?
Soni kosa ktk ile audio,kinachotakiwa Pengo awaombe msamaha maaskofu wote walioketi kama baraza,pia awaombe msamaha wananchi sababu Pengo ndiyo uliyekosea, ndio maana Gwajima akashindwa kukuvumilia/kukuogopa kama wanavyofanya wengine sababu Gwajima ni mnyoofu aliamua kunyika kukupasha ukweli kwa lugha ambayo sio ya kinyenyekevu sababu kosa lako ni kubwa ktk jamii.
Gwajima hana kosa mbinguni na duniani.