Recent content by Mnagi

  1. M

    Biashara ya kuuza kuku wa kienyeji

    Vp mkuu ulifanikiwa kuanzia hii biashara
  2. M

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Ivi huruhusiw kufungua ac ya ajira portal mpya Kama uliyonayo inazingua?
  3. M

    Fixed deposit kwa sasa hazina faida tena

    Za kiboya sana izo nilifuatiliaga nikaona faida yke ni ndogo San Bora uwekeze kwingine
  4. M

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Tafuta vijana wanaojua kunyoa vzr,then fungua saloon tatu Kwa kuanzia ingianao mkataba Kwa siku wakuletee elfu Saba itakayo zidi yakwao,Kwa maan iyo Kwa siku hutakosa elfu 21 na Kwa mwezi ukosi 630k ukitoa Kodi 540k faida pia ukitoa na Mambo ya umeme 500k hukosi
  5. M

    Nina mtaji wa 200,000 nifanye biashara gani?

    Tembelea minadani vijijin uko, daka kuku then uje uwauze sokon au fungua ofisi sehem iliyochangamka uwe unachinjisha kuku mwenyewe utapiga pesa mkuu
  6. M

    Soko la used computer UAE

    Ujasema unapatikana wapi?
  7. M

    Pata namba zako zote za simu za zamani na ulizopoteza kupitia Facebook

    Kweny simu unajngilia wap iyo sehem mkuu
  8. M

    Naomba ushauri kilimo cha Mitiki

    Wengi wanaonaga inachukuw muda sana ila vzr Kwa uhamuzi huo
  9. M

    Msaada kuhusu simu

    Shida ya tecno kujaa storage space ata baada ya kufuta vitu ni nn na inatatuliwa vipi Kwa waliokutana na changamoto hii
  10. M

    Tatizo lolote la PC/device

    Na PC yang HP natumia window 10 shida ipo kwenye kuongeza mwanga(brightness) nikibonya fn then button za mwanga kweny keyboard inaniletea frame to za mwanga ila mwanga hauongezek shida ni nn?na Kama drives nili update zote nili activate mbka ya graphics
  11. M

    Mbegu za miti ya Mitiki

    Ujasema unapatikana mkoa gan?na unauzaje
  12. M

    Msaada wa chakula bora pamoja na chanjo kwa nguruwe ili wakue upesi

    Ingependeza ungetupa formulae za chakula kulingana na umri wao i mean wadogo na wakubwa Kwa wanyama Kama utojali ilitufaidike wotee umu.
Back
Top Bottom