Una assume kwamba unayajua maisha yangu halisi! Sasa, hapo nani kakurupupa?Maisha yangu yapi unayoyajua wewe? Eti nimetukana! Pambafu ni tusi kwenye kamusi? Mbona unaropoka ovyo wewe!
Swala la mikopo ni ujinga mtupu. Mkopo maana yake ni kwamba you borrow money and pay back after graduating and employment. Sasa hili swala la eti kundi la kwanza alafu la pili alafu hujulikani kama utapata inakuwaje?
Mwanangu nilimsomesha Marian girls na kufaulu vizuri sana. Ilikuwa kwa shida...
Learn to stick to the subject! Issue ni Kenyatta kuomba kuuziwa unga ambao tunayo surplus nyingi. Kama wavivu kenyatta hasinge bother to ask for unga wetu.
Who care about English language! Nyinyi wakenya mnaona kujua lugha ya your colonial master ndiyo superiority to us Tanzanians. We don't need to speak nor write good English grammar for it's not our mother tongue
Unaposema Tanzanians have the laziest citizens are you implying that we are not willing to work, not energetic, slow moving, inactive, jobless, sluggish or what exactly?
80% of Tanzanians are small farmers and farm laborers. That's why we are able to sell surplus food to kenya because we are...
84% and 16% is about ownership. The agreement include the sharing of future economic benefits from mines on a 50-50 basis. Kwahiyo, kitakacho patikana nunu kwa nusu.
Do you know anyithing about shareholding and how companies works?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.