Recent content by mmh

  1. mmh

    Nani zaidi? Simba vs Yanga thread

    Tabia za wana utopolo zinajulikana, kelele mingi sana lakini chokaaa. Hawana purchasing power. Kazi kujitutumua tu. Simba maneno kidogo action kubwa. Sasa utopolo wekeni waganga wenu waroge teknolojia isome miamala kwenu wakati ni hewa. Huku hakuna jezi za bure
  2. mmh

    Shabiki wa Simba auawa kisa tobo la Banda

    Kwa nini mashabiki wa utopolo ni wagomvi hivi? Kuna shabaki wa Simba Tabora alitolewaga jicho na shabiki wa utopolo kisa ushabiki tu. Mi sipendagi kubishana kabisa na utopolo wako very unstable.
  3. mmh

    Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

    Kilichonishangaza leo kumaddress mheshimiwa Raisi wetu kama Ms! Hiyo Ms ni miss bila shaka au wataalam nimeenda Chaka?
  4. mmh

    Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

    Putin anamuambia kua mi niko mbali naweza kuongea na wewe lakini uko kwa mtu sebuleni yeye hata salam tu hajakupa!! Asante Putin. Huyu baba anajua kujishusha kwa wanyonge.
  5. mmh

    Zitto: Wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato, alikuwa Rais fisadi zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Sasa zito kwa sasa mna madaraka tatueni basi kero za wananchi, hayo ya kutaka kutuzika chato mbn mmefika mbali? Maisha yanazidi kupanda gharama nyie hayo hayawahusu sio? Kinachowatesa ni zile video za mazishi yake, ongezeni sauti au mzifute zoteeee. Narudia, Nape, Zito, Jan wako kimkakati sana...
  6. mmh

    Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Tutegemee sana haya Kupitia magazeti Nape kawekwa kimkakati, Huku Jan,Huku Zzk. Hahaha
  7. mmh

    Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Bondia ameamua kupigana na hewa na anatumia bomu la nyukilia. Mi nawashauri awamu hii watulie tu, hitaji lao na hamu yao ya vita wataipata kwenye uchaguzi wa 2025
  8. mmh

    Zitto Kabwe: Tangu mwaka 2015 Serikali imepeleka Mabilioni ya fedha Mwanza ambayo haijulikani yanapokelewa na nani, CAG atueleze!

    Zito yuko upinzani kimkakati sana. Jan, Nape na Zzk. Mtapata jibu. Nape yuko wizara ya habari, sasa code zinaanza kufunguka nani kapelekwa wapi ili afanye nini
  9. mmh

    Zitto Kabwe: Tangu mwaka 2015 Serikali imepeleka Mabilioni ya fedha Mwanza ambayo haijulikani yanapokelewa na nani, CAG atueleze!

    Zito bana, kwa hiyo anaona zinapelekwa halafu bus au gari lililobeba likifika linapotea au?
  10. mmh

    Sasa Vita ya awamu ya Tano na Sita ni dhahiri

    Bondia ameamua kupigana na hewa na anatumia bomu la nyukilia. Mi nawashauri awamu hii watulie tu, hitaji lao na hamu yao ya vita wataipata kwenye uchaguzi wa 2025
  11. mmh

    Memba wa Umoja wa Mataifa waondoka ukumbini, wasusia hotuba ya Waziri wa Urusi

    Halafu wanaenda vyumbani kumsikiliza kwa makini kideoni
  12. mmh

    Memba wa Umoja wa Mataifa waondoka ukumbini, wasusia hotuba ya Waziri wa Urusi

    Hawa US na Nato wana utoto mwingi sana kumbe wale jamaa zetu walijifunza huku kususasusa sio
  13. mmh

    Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

    Kama we hutaki acha, mbn mengine husemi umeona hilo tu?!
Back
Top Bottom