Nilijua tu kuna wapuuzi watajibu utumbo lakini jamaa ameandika fikra Zake kwahiyo haina haja ya kujibu hovyo kama hutaki si kaa kimya!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Alipiga vita mashoga, madawa ya kilevya na aliwajibu wamarekani kwa hawatakiwi kuingilia maslahi ya nchi yetu, hii ni sababu tosha ya kuzuiwa kuingia nchini kwao.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo la wanachadema ni kama wamelogwa na mbowe na mganga inawezekana amekufa alikopata dawa huyo mtu hata uambie nini hawawezi kuamka isingizini kamwe
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo ni kwamba watu wanapoandika haya huwa hawatumii akili ya ziada Bali wanatumia akili ya kuambiwa na siasa nyingi, tusilete siasa kwenye mambo ya msingi na maisha ya watu, pale panatasaidia kuokoa maisha ya watanzania wenzetu ambalo kila mwezi kuna idadi ya watu wanapoteza maisha yao pale...
Sio kila kitu cha kupuuza jamaa katoa mada Mzuri kabla ya kutukana Fanya uchunguzi hilo ndio tatizo la watanzania tunajua matusi tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wapi walisikia kuwa rais amesema wamekubali kulipa,kilichosemwa ni baada ya mazungumzo ndio itajulikana kama kuna cha kuilipa nchi yetu na kuendelea biashara katika mpangilio Mzuri.
Kijana hatujakuelewa upo mwelekeo gani na ajenda kuu nini,ukituambia watanzania ni mambumbu ni pamoja na wewe sasa sijui una maanisha nini,mwelekeo wetu ni Mzuri sana kwa maoni Yangu bado hatujaafikia kwa kujilaumu tusonge mbele kujenga nchi yetu!
Posted by Dr.Mmeto Yahaya.
"Kuanzia Sakata la kutaja Watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya mpaka kinachodaiwa "Uvamizi wa kituo cha Clouds Media Gruoup"! RC Paul Makonwab amekuwa gumzo kuu hapa Nchini kwa sasa ,kuanzia kwenye vyombo vya habari,mitaani na kwingineko!
Nikiwa hapa Kijijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.