Wameshikwa pabaya wamepanic na bado.Yaani chama kilichokufa chadem mnajitekenya na kucheka wenyewe. Hili suala hamtashinda, kama ilivyokuwa kipjndi cha uchaguzi, you'll never win.
Wameshikwa pabaya wamepanic na bado.Yaani chama kilichokufa chadem mnajitekenya na kucheka wenyewe. Hili suala hamtashinda, kama ilivyokuwa kipjndi cha uchaguzi, you'll never win.
Umeandika ujinga.Akili za Watanzania waliowengi ni kama bendera huwa wanafata upepo tu, hakuna tofauti ya wasomi wala wauza karanga mitaani. Kwa hurka hii mbaya sioni kama kuna siku tutanasuka kwenye hili tope zito la umbumbu. Nchi ikishakosa utofauti wa uelewa ni ishara tosha kuwa kuna shida.
Sijaelewa bado kama tatizo ni siasa au elimu, ujinga au uvivu, serikali au mazingira. Kwanini idadi ya watu kuwa wapumbavu inaongezeka siku hadi siku?
Ila hala hala kiangazi kinakuja na tope linaanza kukauka hivyo nasema tukiendelea hivi hatapona mtu.Wenye macho na waone na wenye masikio wasikie kama taifa tuko kwenye hali mbaya
Some problems are so complex that you have to be highly intelligent and well-informed just to be undecided about them.
Yaani chama kilichokufa chadem mnajitekenya na kucheka wenyewe. Hili suala hamtashinda, kama ilivyokuwa kipjndi cha uchaguzi, you'll never win.
Nyumbu utabaki kuwa nyumbu milele.Una uhuru wa kuongea chochote juu yangu, ila siku ukikuwa kifikra utajua nimeongea nini?
Uwe na mchana mwema
Kichwa cha uzi tu kinatosha kujua wewe ni chama gani.Wapi nimetaja mimi Chadema?? Utakuwa unamatatizo ya fikra, siku ukikuwa kifikra utaacha kuongea utoto.
ILI NI PEPO ZAIDI YA IBLISI. JAMANI KAMA KUNA WACHUNGAJI NA MASHEIKH HUMU NAOMBENI MLIOMBEE LITOKE. huwezi kutetea wizi , wewe sio mtu wa kawaida
"Usitutishe boss" ndio kina hao?usitutishe boss....waote tuko imara na lolote
Hahaha, eti tunaamini umaskini wetu unatokana na wazungu. Ilhali tunafanya makosa ya waziwazi wenyewe. Dunia ya leo unasema kuwa Waziri, Mbunge, Mkuu wa Mkoa au Wilaya inahitajika kujua kusoma na kuandika tu. Kisha tukishindwa kutatua changamoto kubwa za kimaendeleo, tunawalaumu wazungu. Haiwezekani. Ukweli unabaki kuwa akili zetu hazijawa tayari kujiletea maendeleo.
Kama wanamshindwa Mange aliyepo Los Angeles jiji la wote, wataweza kuniteka mie niliepo porini Nebraska huku. Tehteh!Hii comment akiiona Mkuu wa mkoa wa Dar utatekwa
Akili za Watanzania waliowengi ni kama bendera huwa wanafata upepo tu, hakuna tofauti ya wasomi wala wauza karanga mitaani. Kwa hurka hii mbaya sioni kama kuna siku tutanasuka kwenye hili tope zito la umbumbu. Nchi ikishakosa utofauti wa uelewa ni ishara tosha kuwa kuna shida.
Sijaelewa bado kama tatizo ni siasa au elimu, ujinga au uvivu, serikali au mazingira. Kwanini idadi ya watu kuwa wapumbavu inaongezeka siku hadi siku?
Ila hala hala kiangazi kinakuja na tope linaanza kukauka hivyo nasema tukiendelea hivi hatapona mtu.Wenye macho na waone na wenye masikio wasikie kama taifa tuko kwenye hali mbaya
Some problems are so complex that you have to be highly intelligent and well-informed just to be undecided about them.
Tatizo watu walikosea kufanya maamuzi kwenye sanduku la kura, sasa ni mwaka na nusu Tanzania ina hasara kubwa kuliko wakati mwingine wowote.
Hakuna wa kuhoji, uchumi wetu anasimamia Dotto Katibu Mkuu Wizara ya Fedha. This is nonsense! Mshauri wa Fedha eti ni Dotto, hii laana itatumaliza.
Kweli hii nchi ni ya ajabu. We jiulize kwanini walewale waliotuonyesha matatizo Leo hii wametugeuka baada ya kuanza kuyashughulikia? Wameamua kuungana upande wa waleta matatizo..Tanzania ni Nchi ya ajabu sana wale wale walituletea matatizo wanapitia malango wanyuma heti wanataka kutatua matatizo ambayo waliyaleta wao
Kijana hatujakuelewa upo mwelekeo gani na ajenda kuu nini,ukituambia watanzania ni mambumbu ni pamoja na wewe sasa sijui una maanisha nini,mwelekeo wetu ni Mzuri sana kwa maoni Yangu bado hatujaafikia kwa kujilaumu tusonge mbele kujenga nchi yetu!Umejaribu na nani? Talk in your personal capacity.
Kijana hatujakuelewa upo mwelekeo gani na ajenda kuu nini,ukituambia watanzania ni mambumbu ni pamoja na wewe sasa sijui una maanisha nini,mwelekeo wetu ni Mzuri sana kwa maoni Yangu bado hatujaafikia kwa kujilaumu tusonge mbele kujenga nchi yetu!
Umejaribu na nani? Talk in your personal capacity.