Huyu kenge ameniudhi mno yule alietolea nape bastola ni nani? Mijitu mengine kama ilibemendwa hilo jeshi unalosema linatulinda linalinda magufuri na ccm wasitoke madarakani tena hakuna taasisi ninazozichukia kama hizo ulizozitaja kwani ndo zinalinda uozo waccm
Kama kuna watu waoga nihawa wanaoitwaTISS au kwa jina jingine matasa wanadeal na upinzani lisu lema na roma alitaka kunyofolewa koo saanane ndo alishanyongwa kwanini wasiende huko rufiji wakapambane nawanaume wakazi
?hovyo hawa jamaa
Wauwe tu haina jinsi maana usalama wetu wapolisi wako busy na roma na Ben saanane wanashindwa kudeal na mambo muhimu kama haya askari nane kweli?inauma mno hawa tiss kazi yao nini?
Hii sasa nimekumbuka wimbo wa kokoro wa diamond na rich mavoko kuwa mgonjwa katibu mganga,polisi acheni kujenga uadui na raia mngekuwa mnaishi vizuri na raia mngekuwa mnapata taarifa mapema alafu zile intelejensia zinatumika kuzima mikutano yakisiasa? Na usalama wataifa wako busy kuteka vidagaa...
Usalama wataifa niwajinga mno napumbavu zao wako busy kuteka visanii vidogo kama Roma pia na Ben saanane na ukweli nikwamba hao hawana madhara yoyote ktk jamii wanaancha kupambana nawanaouwa askari wetu wanaofanya kazi kubwa usiku na mchana pia na askari wabadilike mindset zao ili washinde hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.