Siku chache zilizopita, Mheshimiwa Mbowe akileta hoja yake kuhusu utekaji na kuuawa kwa wananchi, na kutaka hoja kuzungumzwa. Aliendele na kusema ya kuwa jambo hilo litakuja kuwafikia serikali na hapatakuwa na wananchi wakuwasikiliza , kuwaonea huruma au hata kuwapa msaada.
Na ni kweli halikuchukua muda limetokea Kibiti.
Swali langu...Je, Mhe. Mbowe alikuwa na taarifa yoyote na haya mauaji yatatokea ama ilikuwa ufanisi tu wa mazingara yaliyopo au predictions za kisisa tu.
Mwezi huu huu tulimsikia RC Makonda aliposema watajitahidi sana kuhakikisha kuwa kijana Roma alipotekwa anapatikana mapema sana na hilo likatimia. Wengi wetu humu JF na wabunge kadha wamemunganisha Mhe. Makonda na hao watekaji na hata kuihusisha serikali kwa hilo.
Je, kwa hili la Kibiti ni sawa mahasimu wa Mhe.Mbowe kuunganishwa na hili tokeo la kigaidi na kutupotezea vijana wetu 7?