Mmm watu wengine hawaendi na wakati...
Hiyo habari ya 2011... Tupe habari za saizi banaaaa kama baba liz kakomba hela na kweli kakomba alafu unasema udaku wakati hali halisi tunaIona.....
Kusoma hujui na picha huoniii.... Tz pesa ipo ila inakombwa na wachache na familia zao.
Hahahaaaaaa
Hahahahaaaa.... Tbccm na claudccm wameona kuwa kesho lowasa ndo raisi wameona bora wajikoshe leo.... Walikuwa hawasomi hata magazeti yaliyoandikwa lowasa sembuse kumrusha live? Toroka uje hiyo... Hahahaaa
Jipe matumaini tuuu maana mnahaha na hilo goli la mkono ili mpate upenyo...
Mmekamatika vibaya safari hiiiii... Hamchomoki, mmeshaingia kwenye 18... Mmelegeaaaaaaa kwetu kz imekuwa rahisi sana....
Waliosema dying person kama wewe wamekufa wao yeye anadunda tu tena mahaba kwa wananchi ndo yanazidi.......
Hata usipo mpigia kura tulizonazo sisi zinatosha kumfikisha Ikulu akatuletee katiba ya wananchi tunayoitaka
Lowasa hoyeeeeee.... Mtajibebaaa
Yaaani hata mseme na kukejeli kwa namna yoyote ileeee.... Tumemuamini Lowasa kura tunampa.....
Muda wote macho kodokodo kumfuatilia.... Naye anawakimbiza wala ucngz hamlali....
Kazaneni na hoja zenu dhaifu za ugonjwa mwenzenu anachanja mbuga kuelekea Ikulu...
Hahahaaaaa mtatiju tuna mahaba...
Ni afadhali walk rule tea choo chumbani hivyo choo kikaongeza hadhi ya chumba nakuwa Master bedroom... Lowasa vyovyote watakavyokuita kura tutakupa tuuuu, sisiem hamtubadilishi chochoteeee ikulu ya lowasa tuuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.