Vyovyote utakavosema lkn tuliokuwepo uwanjani pale tndma tunaujua ukweli
nasikia kajinye........ Ndio sababu kushindwa kuhutubia
Hivi lowasa kawakosea nini, manake mnamtukana sana, hivi mnadhani familia yake inajisikiaje, nyie ccm acheni hizo, kama ni hivyo mumtukane baba riz manake ndo katufikisha hapa tulipo
Ndugu yangu,hakuna mtu anamtukana Lowassa bali ndivyo alivyo, tatizo kubwa ninaloliona ni watu kufichaficha ugonjwa,ugonjwa sio aibu,ugonjwa ni ubinadamu.
[h=2]Hali tete UKAWA, Lowassa ashindwa kuhutubia huku vipaza sauti vikifanya kazi kwa Mbowe[/h]![]()
Hivi hata kusimama na kupunga mkono ilishindikana?
nasikia kajinye........ Ndio sababu kushindwa kuhutubia
Huu uzi ungekuwa unaiponda ccm ungeshafutwa ama kuamishwa ila cha ajabu meshaona mada zaidi ya 5 kuhusu tunduma na zinafanana ila sababu zinaiponda ukawa mods wametulia tulii
[h=2]Hali tete UKAWA, Lowassa ashindwa kuhutubia huku vipaza sauti vikifanya kazi kwa Mbowe[/h]![]()