Recent content by mmanta

  1. mmanta

    Iphone6 64gb for sale only at 370k

    iPhone 6 imo na 64gb storage ram 3gb Hainan iCloud kuna unaweka yako unapatiwa chaji na earphones iko na hali nzuri still new delivery arusha moshi mwanza dar na shinyanga mawasiliano 0787323047 0716338766 email. othumallya@gmail.com
  2. mmanta

    Xiaomi redmi 6 inauzwa 280k

    Xiaomi redmi 6 with ram 3gb rom 64gb used abroad still in a good condition utapata chaji na earphones bure delivery arusha moshi dar es Salam na shinyanga kwa mawasiliano piga 0787323047,0716338766
  3. mmanta

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    shukran mkuu
  4. mmanta

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mkuu umekubali ulikuwa unasemaa atachanachezeaarsenal mtu nmpga laki 7
  5. mmanta

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal win
  6. mmanta

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wee mkuu untka tule mawe tumbtia mshahara
  7. mmanta

    Nikaribisheni

    Karibu mkuuu hata sisi tulikuwa wageni kama wewe Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
  8. mmanta

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Inatembea hadi mwanza cz natokaga na it Dar saa 12 jioni saa 9 usiku naingia tinde
  9. mmanta

    Matokeo ya vijana wetu kidato cha nne kuchelewa huchangiwa na nini?

    Naona yanakuwaga na process lakini imezoeleka yanatokaga mwezi wa pili kuanziatarehe 14-20
  10. mmanta

    Msaada: Divisheni III.16 (PCM) akasomee nini?

    Huyo anaanza diploma ila kama utampeleka Kenya ama Uganda anaanza bachelor
  11. mmanta

    Mtu aliye-resit O-Level anaweza kupata mkopo akifika chuo?

    Unapata vizuri tu ilimradi uwe na vigezo tu
  12. mmanta

    Ushauri: Nipo first year, nataka kusoma CPA

    Asanteni sana wakuu kwa contribution zenu nilifanikiwa na cornerstone consultancy wako arusha wanatoa classes za CPA naona mungu akipenda may nitaanza nimekutana vijana wa second year ambao wako foundation stage walianza first year wananipa moyo kama nina nia nitafanikiwa
  13. mmanta

    Tahadhari wanajamvi, kuweni makini kumezuka matapeli wa pesa kama DECI

    Kampuni ya diamond traders yaliza watu ni ile inayofanana na DECI tahadharini wanajamvi wenzangu kuna makundi yenye no za uwakala yamezuka yanayofanya investment kwa njia ya mpesa na tigopesa baada ya siku 9 wanrdsha pesa yako na profit ni kweli mwanzo wanaanza vizuri baadae in a Kuwa kama...
  14. mmanta

    Ushauri: Nipo first year, nataka kusoma CPA

    Asante wakuu kwa kunipa moyo
Back
Top Bottom