teamasala
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 617
- 637
Unaweza mm kuna ninao wafahamu waliganya hivyo na wamefanikisha, ILA lazima uwe na commitment ya halii ya juu ingawa hizo level za chini masomo si magumu.Habari zenu wanajf mimi ni mwanafunzi wa 1st year bachelor of economic and finance nataka kufanya CPA kuanzia mwezi5 ili nijiongezee thamani naombeni ushauri wenu
Pia itakujenga utajifunza kumanage muda wako..hutakua na muda ata wakutembelea marafiki wala ndugu.
Shule mbili sio mchezo.