Recent content by Mmang'ati

  1. Mmang'ati

    JamiiForums Tanzania Dunia inazidi kukimbia, soma hii kuhusu kuku wa mahabara-BBC

    Kinachosikitisha zaidi hawaishii tu kwenye social media ila wamo mpaka kwenye vyombo vya habari vinavyoheshimika kabisa yaani TV..... Swali najiuliza wanapataje ajira? Kimsingi makosa ya kuweka h pasipostahili sio typing error kabisa INA maana vyombo hivi vya habari vinaajiri MTU wa kutyipe...
  2. Mmang'ati

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa MO , uongozi wa Simba uitishe Mkutano wa dharula

    Ndugu......suala LA bodyguard sidhani kama lina mashiko. Kwa nn 1.Kuwa na bodyguard lazima use na sababu(motives) za kwa nn uwe na bodyguards. 2.waeza kuwa na bodyguards na bado proffesional kidnapers wakakupata tu. So kwa hili LA Mo nadhani tusubiri tujue sababu has a ya utekaji. Maana huyu...
  3. Mmang'ati

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mchezesha Muziki maarufu nchini DJ Rico, amefariki Dunia

    Nilimfahamu those days way back 2002-2003... Akipiga studi bekaz namanga msasani wakitokea ea radio yeye, Dj bush baby,marehemu Dj faridah
  4. Mmang'ati

    JamiiForums Tanzania Nauza Canon cameras

    Canon ni mpya hiyo nyingine imetumika kiasi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mmang'ati

    JamiiForums Tanzania Natafuta camera canon D 600 au yeyote

    0625674185 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mmang'ati

    JamiiForums Tanzania Natafuta camera canon D 600 au yeyote

    Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mmang'ati

    JamiiForums Tanzania Nauza Canon cameras

    Niko Dar .Hiyo Canon inaenda 600000/ na Panasonic 500000/nicheck 0625674185 na pia nyingine ni Panasonic Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mmang'ati

    JamiiForums Tanzania Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

    1.Lara 1 2.Ontario 3.Mzizimkavu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mmang'ati

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    To be honest natamani nijiconvert sijui namna gani niwe na kiwango chako mkuu......unanimotivate sana. [emoji29] kungekuwa na sindano ya kuchoma kama zile za kuongeza sehemu ya mwili ningechoma.
  10. Mmang'ati

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Msamvu....al said hii hapa ......konda nipe tickets..........ngoja tu niwemo Dar kwanza kama nimo kwenye batch ya kwanza ama simo Sir God knows Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mmang'ati

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    U gotta a battalion ..........Be confident
  12. Mmang'ati

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    Komba-kipatiko Mwamfupe-unyamaunyama Mgalula-kifutu Yunus-popobawa Luta-locomotive Mazengo compex enzi hizo
  13. Mmang'ati

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    Klein
  14. Mmang'ati

    JamiiForums Tanzania Mabilionea Kanda ya Kati ni shida

    Umesema hawana mbwembwe kama wasukuma ama wachaga....kwa taarifa kati ya hiyo list wawili ni wachaga
  15. Mmang'ati

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nna shaka kidogo na kiswahili cha mtandao mkuu huwa ni kigumu mno chaweza kutupoza zaidi.
Back
Top Bottom