Recent content by mmakua

  1. M

    JamiiForums Tanzania Team naomba Msaada kwa mwenye uzoefu na Mercedes Benz ML 270 CDI

    Anayeihitaji ni hadi aje aikague aone tatizo then tu negotiate hii ninayo na haina ubabaishaji wowote
  2. M

    JamiiForums Tanzania Team naomba Msaada kwa mwenye uzoefu na Mercedes Benz ML 270 CDI

    Haijawahi kuguswa engine kwa kubadilishwa chochote na cylinder head haijawahi kufanyiwa chochote since nimekua nayo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Team naomba Msaada kwa mwenye uzoefu na Mercedes Benz ML 270 CDI

    Naishi Dar changamoto kubwa ni kwamba engine ukipata moto kama umetembea umbali fulani engine ikipata moto ukizima kuwasha tena ni shida sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Team naomba Msaada kwa mwenye uzoefu na Mercedes Benz ML 270 CDI

    Team naomba Msaada kwa mwenye uzoefu na Mercedes Benz ML 270 CDI (Diesel)kuchelewa kuwaka
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Uzi Mtamu sana huu
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Papuchi za kununua sio tamu

    Eti heri ungeporwa na vibaka,Ungelalamika ivoivo kuwa bora ningenunulia papuchi nimegegedulia1[emoji12]
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    New Kita for 2019/2020 Season
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake ni viumbe hatari sana duniani

    It pains sana
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mwanamke asiyejitambua.

    Heaven on Earth mwanaume anayejitambua ni yule anayejali.kuthamini, kukuwakilisha na zaidi yule aliye tayari kukutetea na kukupigania aidha kwa kupingana na watu wanaokusema vbaya na kusapoti pale unaposemwa vzuri, Haitoshi yule anayejua majukumu yake ya msingi ya kiume na kuyasimamia kwa...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kill The Messenger And Burn The Message After Reading! The Mediocracy Of Single's Institution!

    Unaifanya dunia iwe ngumu sana Lara kwa mada zako Unanishawishi niishi kwa sanaa ya hali ya juu sana kimahusiano mmh! We noma
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

    Show ni nzuri sana japo inahitaji ipewe muda kadri interview inavyokuwa nzuri na kali ndo inaisha Big Up kwa Interviewer na interviewee
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanyaje huyu baba?

    Kwani akimega kimyakimya inakugharim nn kama huduma zake Unapeleka pwani
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anaesema mapenzi ya JF sio real nani? Idhulumu nafsi yako tu

    Kitengo Lara1 mama yng Hzo info mmh! Issue kujaza cv aisee
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemuacha mkurya rasmi

    Makuzi ya binadamu yanachukua mda mregu sana Unaweza kuwa msomi na usijitambue Umuhim wa kutangaziwa kuachana unatoka wapi kama wakati Mnaanza Mahusiano hukuutangazia ulimwengu kuwa Umempata wa Ubani Wako Kabila glani?
Back
Top Bottom