Recent content by MmakondeMmakonde

  1. M

    JamiiForums Tanzania Simu ya PANTECH P9070

    Hizi naona ni India mzee
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yageuka 'bubu' sakata la Ponda; huu ni usaliti!

    Jamani wana jamvi lazima mjue kuwa nchi yetu ni kama mtumbwi ulio tubeba wote hivyo nijukumu letu wote kuhakikisha tunautunza ili husipinduke kwani ukipinduka wote tutatumbukia baharini,hili suala la shehe wetu naomba tusilifanye sana kuwa chanzo cha chokochoko kila sehemu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simu ya PANTECH P9070

    Wana jamvi hii simu inauimara gani na uwezo?naomba msaada tafadhali
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi YANGA tatizo ni pesa au nini?

    Hata mimi nawapongeza sana Yanga kwani soka duniani kote sasa ni biashara,wachukue udhamini wa pepsi cola wa sh mil.600/-waachane na uchwara wa Azam
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Ndugu yangu umenena jambo la msingi sana.wakristo na waislam hatuna ugomvi wa aina yoyote,bali kuna baadhi ya watawala wanataka kututenga ili watutawle vizuri na kilahisi.WATANZANIA TUSIKUBALI KUINGIA KTK MTEGO HUU.Tuendelee kuishi na kupendana na la msingi ni kuhakikisha tunashirikiana wote kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Kada wa CHADEMA ndugu Privatus Mahabusi afariki dunia

    Doo!!poleni familia ya marehemu na tunamuomba mungu awajaze moyo wa subira.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy advance mpya

    Wana jamvi ninauza samsung galaxy advance,ina screen protector na body cover sh.250000/--
  8. M

    JamiiForums Tanzania bb curve 5 inauzwa 300,000

    Ok mkuu nahitahi kuinunua hiyo bb tukielewana,ila kwanza unieleweshe jinsi ya kujiunga na internet maana nilikuwa na bb mpaka nimeiuza kila ukitumiwa settings inasema simu yako haina bookmark services kwa line ya air tel.pls
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uzarendo wa wanakagera na biashara ya magendo kwa viongozi wake

    Ni kweli ndugu yetu mkulima unaandaa shamba kwa gharama kubwa hadi kuvuna,wakati wa kuuza serikali inakwambia uiuzie kampuni fulani kwa bei hii,hata nusu ya gharama ya uzalishaji haifiki.Ok ukishauza na kulipa ushuru,vigogo wanatafuna na hakuna cha maendeleo.Hakuna cha uzalendo hapa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    Asante mkuu,huwezi kuzipata kwa lnb 1? Ya c band?mie natumia receiver ya strong napata local chanel itv,chanel ten na hiyo citizen.star tv inakataa na tbc pia inakataa,kumbuka hizi zote ni vertical mzee
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    Mkuu naomba msaada nawezaje kuipata citizen tv,itv,star tv kwa kutumia c band dish la futi 8 ?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada waungwana

    Nawezaje kupat citizen tv na star tv na tbc kwa kutumia dishi la futi 8 c band? Tafadhali naomba msaada jamani.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Mrisho Ngasa

    Simba walisahiri kwa ujinga kwani wakati Ngasa anatoka Azam kwa mkopo alikuwa amebakuza mwaka mmoja kumaliza mkataba wake,hivyo basi sheria ya usajiri inasema kuwa huwezi kumsajiri mchezaji kutoka timu nyingine akiwa ndani ya mkataba unaozidi miezi 6.Simba hilo hawakulijuwa?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yanga wasikubali milioni 100 za Azm

    Timu ya Yanga nitimu kubwa na inawapenzi wengi kama ilivo Simba kwa hapa nchini.Kitendo cha Tff kutaka kuwaingiza mkenge wa kukubali udhamini wa Azam ni kuidhalau.Fedha wanayopata toka ka kwa mgadhili wao mkuu na mwenyekiti wao bwana Manj,ni kubwa kuliko hiyo ya ufadhili wa Adui yao.nawashauri...
  15. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inajitengenezea matukio ili kujitangaza kisiasa.

    Akili yako ni ya kizembe kama ulivyo mzembe mwenyewe gamba mkubwa we
Back
Top Bottom