Ningekuunga mkono endapo ungekemea jeshi la polisi linavyotumika kisiasa, badala ya kumuattact Lissu tu, Mbona hata Masha na yy ni mwanasiasa yy umemuacha au tatzo ni Lissu tu?( Ungana na msabato kwenye kesi ya dom, na hapo ndo utajua Lissu anafaa au laa
Ndugu zangu wanajukwaa, Kunahaja kuweka mfumo wa pamoja kama taifa namna ya upatikanaji wa viongozi wajuu wa taifa letu. Nasema hivyo kwa sababu binafsi naamini msemo wa kiswahili usemao "dalili ya mvua ni mawingu", kunasiku huko tuendapo taifa litaongozwa na laana badala ya kiongozi.
Moja ya...
Hayo ni matokeo ya kugeuza haki kuwa Takwa la mtu na siyo takwa la kisheria, na hapo nchi huvurugika!!!, Tuendeleni kuheshimu Sheria za nchi na katiba ya nchi, naomba mahakama ifanye kazi yake, na awamu hii mahakama ndo mhimili utakaofanya kazi kubwa kuliko mhimili mwingine.
Kwani Singida nao wanakatiba tofauti na ile anayoizungumzia Lisu?Je mbuge wako ww anazungumzia nn? Udicteta anayoizungumzia Lisu unabagua majimbo?...
Mimi naona Lisu komaa Maana hata huku kwetu njaa ipo.
"Fikra mgando uhalali wa wewe kusema huyo ni kibaraka umeutoa wapi?, Huyo unaemuita kibaraka amepatikanaje?, Mimi naona huyo jamaa apigwe tu iwe fundisho kwa viongozi wengine wa Africa wenye lengo baya kama hilo!!
"Ukitaka kuwa muongo mzuri,jaribu kuwa na kumbukumbu nzuri"
Mimi nilitengemea taarifa yako Liziboni kuhusiana na Mbowe ingekuwa ni taarifa ya mchanganuo wa namna gani Mbowe anavyotumia pesa uliyodai amepewa na Lowasa Cha ajabu hujatuambia, hujawahi kutuambia pesa zile zimeenda wapi?, Leo tena...
Lowasa aliwahi kusema, chama changu CCM hakiandai vijana yakinifu, Bali kinaandaa vijana wapayukaji tu:
Sasa Liziboni mwenyewe ulitwambia Mbowe kapewa Billion 10 na Lowasa mara CHAMA kakiuza billion kumi, Mimi nilitegemea Leo useme Mbowe anatumbua mabilion ya Lowasa, Sasa vipi?, Sikuelewi?
Habari za mwaka mpya wanaforum?Nimeona na mimi leo niitazame kidogo falsafa ya serikali na mtazamo wake juu ya wahanga wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Katika nyakati tofauti serikali ya jamuhuri imekuwa ikitoa kauli nzito na zakukatisha tamaa kwa wahanga wa tetemeko la ardhi huko Kagera...
Dr. Mm nimemuelewa vizuri sana,nikichanganya na kauli ya Msigwa " Tunajenga taifa la kujipendekeza pendekeza" Vijana wengi wamekuwa watafuta fursa mbaya zaid wenye mamlaka ya uteuzi ,kujipendekeza kimekuwa kigezo cha kuteua kiongozi. Rejea uteuzi wa MaDc,RC na wakurugenzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.