Yuda Iscariot
Member
- Mar 2, 2017
- 71
- 157
Habarini waungwana,
Kuna pori nilikwenda, pana mchanga uliochenjuliwa dhahabu (tailings). Miaka miwili iliyopita nimewahi kununua dhahabu hapo na kuuza Dar es Salaam, so nina uhakika kuwa ule mchanga una dhahabu.
Ni nafikiria kuweka plant ndogo kwa ajili ya kuchenjua marudio ya mchanga, lakini sijui gharama halisi za ujenzi wa plant, gharama za madawa, legal issues na ukubwa gani wa plant unafaa kuhakikisha kuwa mtaji unarudi na faida inapatikana.
Kwa yeyote mwenye ujuvi, ushauri, maoni na uelewa wa haya mambo naomba anisaidie.